100%wanawake wenyewe hawaulizi kwanini hatutaki kuwaoa
halafu midume ndo mnakua vihere here wa kuuliza.
KATAA NDOA
NDOA KIFUNGO cha kujitakia
kazi kushabikia uzinzi tu wengi ni madogo hawajakuwa kiakili.Hovyo Sana. Hicho kibunda unaenda kufanyia nini. Wanawaza siku mbili mbele hawaoni miaka ishirini mbele watakuwa Je.
Tupo tuliokua kiakili, tunajitambua, tunajithamini na tunajipenda ila bado tunaunga mkono kampeni hii KATAA NDOA. Marry at your own risk lakini sisi lazima tukupe msisitizo KATAA NDOAkazi kushabikia uzinzi tu wengi ni madogo hawajakuwa kiakili.
HahaTupo tuliokua kiakili, tunajitambua, tunajithamini na tunajipenda ila bado tunaunga mkono kampeni hii KATAA NDOA. Marry at your own risk lakini sisi lazima tukupe msisitizo KATAA NDOA
Heshima kwako mkuu
Mapenzi ya jinsia 1 yako tangu zamani ya kalee.Hii kampeni inalenga kuharibu misingi ya ndoa na familia. Watoto watakaozaliwa na kulelewa na mzazi mmoja wa kike nao watakua na hawataona umuhimu wa kuo/kulewa. Nao watazaa watoto type yao wasielewa umuhimu wa ndoa. Matokeo yake ndiyo mapenzi ya jinsia moja kushamiri, ni hatari sana kwa malezi na makuzi ya watoto bila wazazi wote wawili. Wapo walioamua kwa utashi wao kuzaa na mwanaume yeyote wanayemuhitaji kuwapa mimba lakini hawataki kuishi na mwanaume wanataka kuwa huru bila mume rasmi, ndiyo hawa ma singo maza waliojitakia kuishi hivyo
upoo, mbona ulipotea sana?Mapenzi ya jinsia 1 yako tangu zamani ya kalee.
Sijui unataka kuzungumzia nn. Lol
Nipoo na nimejaa telee.upoo, mbona ulipotea sana?