Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.
Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

itakuwa ni aibu kwao, na JK ndio itaibuka kuwa mshindi, na dhana kuwa jk anaungushwa na wasaidizi wake wakiwemo wabunge wa ccm itathibitishwa rasmikampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa CCM kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo CHADEMA na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa DODOMA
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.
Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.
Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.
Wewe utakuwa mtu wa mwisho kabisa kuaibika I mean utabaki na aibu yote! You are but few steps!Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.