Kampeni ya ccm kuwalk- out kesho yapamba moto dodoma

Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

Kinachoongelewa hapa ni "wabunge wa CCM" na siyo CCM kama chama. Tartiiiiiiiibu naona hawa wajinga "mibunge ya CCM" wanaingizwa "kingi". Muda si mrefu wata-taitiwa tu.
 
Kikwete fanya na wewe "surprize" ulivunje bunge na wewe uwe mwanaume.! Kwani vyanzo vyako vya 'inteligensia' havijabaini dalili zozote za kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na "liserekali lako mzigo'
 
wasira+chapa+usingizi+4%5B1%5D.jpg

Jamani huyu mzee si alishasema yaishe maana siku ile alikuwa kwenye dozi ya malaria??
jamani tuweni na huruma tusiendelee kumuanika. lol
 
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

hapa ndipo nilopowaona wabunge wa ccm ni vilaza.si walipitisha muswada kwa mbwembwe sasa hayo mapendekezo nane yanatoka wapi?
 
Wamepitisha na sasa wanapeleka mapendekezo swali la kujiuliza wakati wanapitisha hawakujua wanapitisha nini? Kama hawakujua inamaana wanalipwa kwa kufanya nini? Wanatuthibitisha kuwa hawana tija kwa taifa.
 
Kwa nidhamu ya woga iliyojengeka ndani ya chama chao wabunge wa ccm hawana ubavu wa kufanya hilo. Hayo maneno mengine ni kujaribu kuzugha tu.
 
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

Hahahahaaa upo jamvini, mie nikajua upo likizo...watu wwanasema ff=vick kamata....mimi mjumbe tuu usije nizaba kibao.
 
kampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa CCM kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo CHADEMA na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa DODOMA
itakuwa ni aibu kwao, na JK ndio itaibuka kuwa mshindi, na dhana kuwa jk anaungushwa na wasaidizi wake wakiwemo wabunge wa ccm itathibitishwa rasmi
 
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

Acha upuuzi wewe,umesahau kama waliupitisha ule mswaada kwa mbwembwe na nyodo nyingi,bila kusahau kejeli kwa chadema. Hayo mapendekezo wameyapeleka ya nini?
 
Mibunge vilaza kweli kweli!!!! Tatizo ni posho alizosema hajaidhinisha kwa hiyo wanajifanya kutikisa kiberiti. JK anatakiwa awaonyeshe kuwa kiberiti kimejaa atumie katiba kuvunja Bunge turudi kwenye uchaguzi. Posho!!! Posho!!! Posho!!! kutoka 70000 hadi 330,000/=
 
Wengine wote wanaweza kutoka nje lakini Anne Kilango nadhani hawezi kutoka. Kufanya hivyo ni sawa na kula matapishi yake. Mimi bado nakumbuka kauli yake siku ile CDM walipotoka nje. Tusubiri tuone! Pinda pia atatoka nje kwa kudharauliwa na Kikwete, au????????????
 
Watakuwa wamezaliwa na mwanaume labda!! Kama ni mwanamke kweli hawana ubavu huo, wawaachie waliozaliwa siku zimetimia siyo wao njiti....:shock::shock:
 
Hawana ujanja wa kutoka kwa kuwa wakiwa bungeni kwao kila kitu ni ndiyo ilimradi wameelekezwa hivyo. Kupinga kwao ni mwiko labda wazidiwe hoja na waone upepo umekaaje nje ndiyo wanazinduka.
 
Ni wabunge wa dar pekee yao wanaoweza kutoka watoto wa mjini wanaoweza kumpinga waziri wa serikali yao ya ccm,mnacheza na zungu,azan,na bonge wa temeke wakiongozwa na mnyika
 
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.

Ahsante! Marekebisho nane wanarekebisha kile walichpitisha kwambwembwe na vjembe au yale aliyoongeza jk?
 
Pumba hizo, juzi Kikwete kasema hata CCM wamempelekea mapendekezo manane ya marekebisho ya sheria.

Tena kumbuka, kwa sasa hatuongelei "muswada", tunaongelea sheria, usipotoshe.
Wewe utakuwa mtu wa mwisho kabisa kuaibika I mean utabaki na aibu yote! You are but few steps!
 
Mabadiliko yatapiytishwa tu - kwa madeni walionayo wabunge wa ccm lazima wapitishe! Mie nataka wana jf tuchangie ktk majadiliano/usuluhishi wa kamati ya bunge ya mama sita ili maoni na mawazo yetu visikike! Tupe ushauri wa kuwafikishi ujumbe! Tks
 
Back
Top Bottom