Kampeni ya ccm kuwalk- out kesho yapamba moto dodoma

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
kampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa CCM kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo CHADEMA na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa DODOMA
 
kampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa ccm kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo chadema na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa dodoma
thubutu huo uwezo hawana labda wanaweza kuchapa usingizi tu lakini hayawezi kutoka nje huo uhakika ninao asilimia 2000% tusubiri utaona
 
WABUNGE WA CCM WASITUTISHE na wasipimane ubavu na Mkuu wa nchi, si bora alivunje BUNGE warudi uraiani kwani wana kazi gani hizo posho wanazozidai zinatosha kusimamia uchaguzi mwingine na hawatarudi mjengoni tena na bado Kikwete atazoa kura kwa 70%
 
Wanaendelea na ushabiki wa kipuuzi hao.. hayo marekebisho watueleze kwanza sisi tuliowatuma huko mjengoni tupime kwa akili zetu kama ni mazuri au mabaya...
 
Wanamtishia nyau JK, lakini hawana lolote wanaloweza kufanya kwenye huo mswada zaidi ya kuitikia NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
wasira+chapa+usingizi+4%255B1%255D.jpg
 
WABUNGE WA CCM WASITUTISHE na wasipimane ubavu na Mkuu wa nchi, si bora alivunje BUNGE warudi uraiani kwani wana kazi gani hizo posho wanazozidai zinatosha kusimamia uchaguzi mwingine na hawatarudi mjengoni tena na bado Kikwete atazoa kura kwa 70%

Wakuu naomba msaada hapo kwenye red; hivi Kikatiba ikitokea Rais akalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi (mkuu?) je; uchaguzi huo unahusu pia kumchagua rais au ni wabunge tu?

Kama unahusu pia kumchagua rais sitegemei hilo la Rais kuvunja Bunge litokee kamwe kwa Tz ila kama urais hausiki hata mie nashangaa JK anaogopa au anasubiri nini? Hili bunge lilitakiwa liwe limevunjwa tangu siku ile ile alipolizindua kwani lilishaonesha kuchoka tangu wakati huo hasa uchaguzi wa Spika.

Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
nauhakika hawataweza kufanya hivyo, kumbuka cdm walivyotumia njia hiyo walizomewa na ccm na cuf! iweje tena wabunge hao hao waone kutoka nje ni njia nzuri ya kufikisha ujumbe? kuna wabunge wengine hao wa ccm hawana mvuto wakiwa nje ya chama cha mapindunzi.

Jana tuliwasikia wanaimba wameolewa na ccm, hao akina ole sendeka na andrew chenge hawawezi kutoka nje.
 
shida wanaongea wabunge 5 tunajumuisha wabunge wote hilo haliwezi tokea maana wabunge wa chama hicho wapo bungeni ki maslahi zaidi na wako tayari kumuitikia boss wao kwa lolote.Hakuna shujaa wakutoka nje ya kikao wala kupinga mswaada maana mwisho wa siku hawatapata lile gawiwo letu la watawala,walanchi bila huruma A.K.A mafisadi
 
Subutu yake............weeeee!!!!
Hawa hawa wapenda posho hawa!!!\
Baba yao kawafuata huko huko leo, atawagombeza kama watoto wadogo,
then kesho asubuhi utawaona wote wamewahi mjengoni, hakuna atakaetoka nje!!!!

Hamuwajui vizuri hawa wakufunzi wa ubwabwa nyie!!!
 
kampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa CCM kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo CHADEMA na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa DODOMA
kiukweli hawawezi kwani watawafanya hata waliokuwa hawajui watake kujua kulikoni na hapo ndipo aibu itawaangikia
 
Hizo drama na zekomedi wanazocheza wabunge wazicheze weee ila sisi mwisho wasiku tunahitaji katiba bora.hilo wajue
 
Wakuu naomba msaada hapo kwenye red; hivi Kikatiba ikitokea Rais akalivunja Bunge na kuitisha uchaguzi (mkuu?) je; uchaguzi huo unahusu pia kumchagua rais au ni wabunge tu?

Kama unahusu pia kumchagua rais sitegemei hilo la Rais kuvunja Bunge litokee kamwe kwa Tz ila kama urais hausiki hata mie nashangaa JK anaogopa au anasubiri nini? Hili bunge lilitakiwa liwe limevunjwa tangu siku ile ile alipolizindua kwani lilishaonesha kuchoka tangu wakati huo hasa uchaguzi wa Spika.

Naomba ufafanuzi tafadhali.
uchaguzi unakuwa ni kwa wote pamoja na Raisi lakini kwa mazingira ya kwetu yeye ana uwezekano mkubwa wa kurudi kuliko wabunge na pia ikiwa yeye ni bado Mwenyekiti kuna uwezekano mkubwa wa kuwapiga chini waliompinga katika mchujo chamani.
Naamiini wabunge wa CCM hawawezi kucheza kamari hiyo.
 
kampeni imeendeshwa leo kwa wabunge wa CCM kuhakikisha kuwa nao kesho watatoka nje ya bunge ili kutuma ujumbe serikalini na kwa rais kikwete kuwa hawakufurahishwa,wamedhalilishwa na hawako tayari kujadili muswada wa katiba mpya uliorudishwa na rais kwa mapendekezo ambayo CHADEMA na wanaharakati mbalimbali waliyaratibu na kumshawishi rais kuona umuhimu wa kuweka pembeni ule muswada wa awali ambao tayari ulipitishwa na wabunge
huo ndio upepo wa leo hapa DODOMA

kwao wanaona kurudishwa kwa muswada huo tena ni ushindi kwa cdm lakini wanasahau maslai ya wananchi wao wameweka ushabiki mbele.mwisho wa ubaya aibu.wale waliokuwa wanazomea na kutoa mipasho aibu imewajaa.
Wacha wagome tuone...............
 
Back
Top Bottom