Kampeni hizi za Makonda zimefanikiwa kwa kiwango gani?

marveljt

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
1,503
1,479
Mkuu wa nchi yetu ya dar es salaama alianzisha kampeni katika baadhi ya mambo. Je tumefanikiwa kwa kiasi gani ili tuanzishe kampeni nyingine.je wananchi wamenufaikaje na kampeni hizi?
1. Usafi
2. Shisha
3. Omba omba
4. Machinga
5. Dawa za kulevya
6. Makahaba
7. Uhakiki wa silaha
8. Uhakiki wa wafanyakazi hewa
9. Kukuza kiwango cha elimu
 
zoote zimefeli
 
Zooooote zimelingana na matokeo yake ya 4m4 (Kwa mujibu wa Mchungaji)
Kweli ndugu ukiangalia kiundani utaona kutofanikiwa huko kunalandana na matokeo ya mkoa wake pamoja na elimu ya kiumbe anayejiita mungu. Mungu ni tofauti na mungu. Mungu akipanga na akisema lazima vitimie ila mungu akisema mara nyingi ni porojo
 
Shikamoo Tanzania...LA 11 sirro kasemaa boda bodaa mwishoo kuendesha SAA sitaa usiku.....
Jamaa sijui kaanza kutumia akili za daud kwa nji ya wifi!! Kuna mabasi yanayoingia saa 6 usiku kutoka mikoani,kuna wafanyakazi wa mahoteli,baa,uwanja wa ndege n.k na huo ndiyo usafiri wa haraka na bei rahisi tofauti na cab. Au ile kauli nataka mtajiri waishi kama mashetani matajiri wenyewe ilikuwa ni wafanyakazi
 
Yaan tunakoelekeaa sijui km kunaa ukombozii mbeleee aisee munguu atubarikii tuu
 
Hivi nani wa kuwaombea! Viongozi au wananchi maana baadhi yao hawajielewi
Hv mkuu utapoteza muda wako kwa kuwaombeaa watu ambao n wazima na hawana manufaa na wananchi..boraa uwaombee wagonjwa,yatimaa na wenye shida mbali mbalii mkuu lakin c hawaa viongozi wabongo wote ndio wale walee
 
Back
Top Bottom