Lilian Masilago
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 246
- 120
Kizazi cha dot com hiki...Style mpya za kutongoza hizi za wasomi eti kutoka nae lunch/dinner kifuatacho Guest house
Kizazi cha dot com hiki...Style mpya za kutongoza hizi za wasomi eti kutoka nae lunch/dinner kifuatacho Guest house
Dada usiandike kama hakuna ulazima. Mie sijielewi?
soma na ujibu vyote nlivoandika, then jibu utaliona hapo hapo
Kizazi cha dot com hiki...
Aha ni mbali hata hapafai taxi, kampani si lazima uwe bored,atakukodishia na taxi anataka kampani tu uko bored hata jf inaboa lazima uwe mgonjwa..
Hi hiiii hiiiiiiiii.. Unataka single au yeyote!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nendeni mkazitumbue hela kwa milunch na makila kitu...halafu baadae mlete uzi hapa MMU jinsi ilivyokua...hahaha
Mimi nipo free kabisa, lakini sina haja na kampani ya walokole. Jaribu kesho kwenye kanisa la Kakobe utapata wa kumwaga.Habari za siku nyingi wakuu,
Nilikuwa busy sana na majukumu ila sasa nimepata likizo kidogo. Nahitaji kampani ya mdada mzuri anayejiheshimu, ya kupata lunch/dinner pamoja na kuongea mambo mawili matatu ya msingi. Mie sinywi pombe wala sivuti, kama unakunywa na kuvuta naweza shindwa kukaa na wewe. Asiwe na miaka zaidi ya miongo 3. Mie nipo Dar maeneo ya Kurasini.
Nipm kama huwezi kufunguka hadharani kama mimi.
utanisaidia kufuta machozi best, if u say yes najitosa coz i count on u
Mimi nipo free kabisa, lakini sina haja na kampani ya walokole. Jaribu kesho kwenye kanisa la Kakobe utapata wa kumwaga.
Mimi nipo free kabisa, lakini sina haja na kampani ya walokole. Jaribu kesho kwenye kanisa la Kakobe utapata wa kumwaga.
wadada nendeni ila asijitokezee mtu kuleta uzi wa YAMENITOKEA PUANI maana v2 free cku hamnaga,tena we ambae ndo kwanza kakuona cjui itakuaje. heads up,jamaa kama ni m2 wa fikra mbaya anaweza kukuona cheap utaeenda maana uzi una free free kibao,ni mtazamo 2 na nimeeka condition.
ol the best wadada
Evelyn Salt alisema hujielewi kwasababu umemshukuru alikuambia kwamba wadada wa jf wanapenda pochi ilotuna.Dada usiandike kama hakuna ulazima. Mie sijielewi?
mimi natafuta mdada mwenye elimu kuanzia degree moja na awe mtalaam wa taaluma za Land Survey au Geospatial science. lengo ni kubadirishana mawazo. nipo Dar.
Hahahahahahaha, unayaweza? Ciello hebu njoo huku kuna mtu anapiga mbinja huku!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums