pole nenda campus yao ya dar gomz kwa maelzo zaidMwenye kujua application zao zinafanywaje anisaidie maana nina mdogo wangu kaapply online kwa august intake lakin mpaka muda huu hamna feedback yeyote na kwenye website yao naona registration ishaanza...