Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,217
- 40,681
Ukute alibadili dini kumfuata mwanamke, halafu mwanamke akamkimbia kumfuata mwanaume aliye kwenye dini aliyotoka mume wakeMwanaume unabadili vipi dini kumfata ke, huo ni udhaufu.
Acha ajifunze in hard ways.
Ndiyo hivyo,inasemekana anatumia nyota za wadada,akikudaka atakutumia ukiisha anakubwaga,coz mtaani hapa wapo aliotoka nao na walikuwa wanatamba balaa,lakini Sasa wapo tu hawana mauzo.Ata usilaumu hao wanawake,maana jamaa ni bingwa wa kutumia nguvu za upande wa pili
HapanaYule wa zile scania Marcopolo
Ndiyo tabia yake,Tajiri kachungulia nyota kaona inalipa wajuao maana ya nyota uitafuta uilinda kwa gharama ya uhai
Huyu ni was juzi tu,ana vi basi vinaenda,songea,mbamba Bay na vijiji vya mbinga.Nilijua ni kigogo wa Dae limited au mdaka five, huyo mtume petro simfahamu kabisa
Kuna jamaa angu mmoja alikuwa anafanya kazi hospital ya wilaya mbinga mkewe alichukuliwa kimasihara na mmiliki wa coaster zinaitwa beyonce zinafanya safari ya mbinga to songea.Ndiyo hivyo,inasemekana anatumia nyota za wadada,akikudaka atakutumia ukiisha anakubwaga,coz mtaani hapa wapo aliotoka nao na walikuwa wanatamba balaa,lakini Sasa wapo tu hawana mauzo.
Huyu ni was juzi tu,ana vi basi vinaenda,songea,mbamba Bay na vijiji vya mbinga.
Kuna jamaa angu mmoja alikuwa anafanya kazi hospital ya wilaya mbinga mkewe alichukuliwa kimasihara na mmiliki wa coaster zinaitwa beyonce zinafanya safari ya mbinga to songea.
Baada ya miezi 3 mwanamke akapigwa chini yupo anatanga tanga hana mbele wala nyuma
Ndiyo huyo, wadada nao sijui wanarogwa? Yaani tabia yake hi inajulikana kabisa lkn wanajipeleka tu.Kuna jamaa angu mmoja alikuwa anafanya kazi hospital ya wilaya mbinga mkewe alichukuliwa kimasihara na mmiliki wa coaster zinaitwa beyonce zinafanya safari ya mbinga to songea.
Baada ya miezi 3 mwanamke akapigwa chini yupo anatanga tanga hana mbele wala nyuma
Hao hawanaga huo ujinga Ni watu makini kwakweli,Ndoa chali na hana pakwenda? Si afadhali angechit kwa siri, halafu mbinga kahawa ikishaiva hua wanapagawa waume kwa wake, plus mahindi wanakua wehu kabisa
Na pisi za kutoka mikoa tofauti zinamwagika mbinga kuwinda pesa za wakulima.Ndoa chali na hana pakwenda? Si afadhali angechit kwa siri, halafu mbinga kahawa ikishaiva hua wanapagawa waume kwa wake, plus mahindi wanakua wehu kabisa
Wanawake upenda kujaribuNdiyo huyo, wadada nao sijui wanarogwa? Yaani tabia yake hi inajulikana kabisa lkn wanajipeleka tu.
Mbali na kahawa Nini kingine mbingaNa pisi za kutoka mikoa tofauti zinamwagika mbinga,
KahawaMbali na kahawa Nini kingine mbinga
Na pisi za kutoka mikoa tofauti zinamwagika mbinga kuwinda pesa za wakulima.