Jamani😃😃😃Mpeleke kwa Tapeli Mwamposa
Yupo hapo Mbuyula nije kumpa pole?Mwanaume hajatoa talaka,yaani katorokwa,na Hadi Sasa kijanayupo hospital anapambania uhai wake.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Haihusiani na mwamposa.Mpeleke kwa Tapeli Mwamposa
Ndiyo, na mwanamke yupo kwa mtume Petro[emoji41]Yupo hapo Mbuyula nije kumpa pole?
Sawa, nipo njiani natoka Mbamba bay muda ukiruhusu naweza kuja kumpa pole kijana. Aisee hii ni hatariNdiyo, na mwanamke yupo kwa mtume Petro[emoji41]
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Inaonekana binti alimpenda jibaba,Ila huyo binti angeondoka tuu sio mpaka wamchome sindano ya sumuWasalaam,
Ni hivi kuna binti jirani alipata mchumba wa dini tofauti, na kijana alimpenda binti, kijana alibadili dini na ndoa ikafungwa.
Kumbe binti alikuwa na danga lake jibaba, danga likaenda nyumbani kwa wazazi wa binti na kuwaambia kuwa anamtaka mke wake na yupo tayari kurudisha gharama za harusi. Danga likaonyesha chatting za yeye na binti, binti anasema kuwa anampenda jibaba na kuhusu kuolewa alilazimishwa na mama take.
Kijana aliyemuoa binti hadi sasa yupo hospitali, inasemekana kachomwa sindano ya sumu na wasiojulikana, na binti kamtorka kijana.
Inauma kwasababu kijana kabadili hadi dini kumfuata mwanamke na kuambulia maumivu. Mtu ukijiona haupo tayari kuolewa ni bora ukakataa kuolewa.
Inasikitisha Sana.Jamaa angetulia kwanza angejua hapendwi. Alifanya papara, angalia mpaka kabadili dini!!!