Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Katika muendelezo wa vituko vya kamati ya bunge inayokutana navyo vs cag ripoti
kamishna wa magereza mh agustino nanyaro jana alishikwa na kigugumizi cha mdomo
pale alipoonyeshwa taarifa ya cag matumizi ya basi mawili kwa ajili ya wafungwa kwa sh
million 295,mabasi hayo ambayo hayazidi idadi ya kubeba wafungwa 30 kila mmoja yanadaiwa
kutokea kenya na yametengenezwa special kwa ajili ya wafungwa ndio maana yamekuwa
gali kiasi hiko..wabunge wameendelea kutaamakii na kusema kwa kweli hii nchi inaliwa na wenye
nchi..huku wakiwa na mwonekano wa kizunguzungu wabunge hao wamesema hawana cha kusema
zaidi ya kuomba waletewe documents zinazoonyesha hayo malipo
baadhi ya wadau wamesema je ni kweli yale machuma mule kwenye basi tumeshindw akuweka hapa tanzania
kiasi cha kunua magari hayo bei gali??
Na wewe ungekuwa kamishna wa magereza ungenunua kwa sh ngapi tungalie na upande wa pili toa kilicho moyoni aijalishi cag atakuja siku yoyote kukuchunguza