Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mengine majungu tu
Hivi huko jeshi la magereza nako kuna ulaji???
wachaga wengi wao ndio mafisadi makubwa ya nchi hii
Hivi huko jeshi la magereza nako kuna ulaji???
Na Mwandishi wetu.
Vyombo vya uchunguzi vya Serikali vimeanza kufuatilia ujenzi wa Nyumba tano zinazojengwa sehemu moja Salasala Dsm mali ya kamishna Jenerali wa jeshi la Magereza nchini John Minja.
Chanzo: Jamhuri
Mengine majungu tu
Hivi huko jeshi la magereza nako kuna ulaji???
Anzisha threadWakati wanachunguza nyumba za kamishna Huyo, watueleze pia mikataba ya gesi na magari yaendayo Vila kasi mkataba wake uko kwa nani?
Niliwahi kusema miaka hii mitano tutashuhudia maandamano ja jeshi la polisi....
Kama ni kufuatilia wamfuatilie IGP na Ma RPC wanavyokula na vibaka huku uhalifu ukitamalaki,ziara za nje na manunuzi,sio Julia na mchunga wafungwa huyu ana kidogo tu,unajua kila RPC anatoa ngapi kwa mwezi kwa IGP au mmelalia maskio,uhalifu hautaisha hadi Ma RPC wa taka poa huku she a adabu maana wamejisahau,ukiona MTU naenda hela ujue polis hawakupata mshiko,
Niliwahi kusema miaka hii mitano tutashuhudia maandamano ja jeshi la polisi....