Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 31
Chagonja anayeshindwa kumchunguza mkewe anayelala naye kitanda kimoja
kwamba ni Mtusi na ni Tapeli la kutupa ndio ataweza kuchunguza Ugaidi? haya ni masikhara.
Akizungumza VoA muda mfupi anadai hajawaagiza chadema kupeleka ushahidi wao kwa Rais bali ni ushauri tu huku akijikanyanga kuwa kabla ya siku moja aliongea na mh Lema na kumwambia kuwa anaushahidi kuwa polisi hawakuhusika anamshangaa tena kubadilisha hiyo kauli yake,huku akidia mh mbowe alimweleza kuwa anafahamu kuwa polisi hawahusiki huyu si mwingine bali ndiyo huyu baada ya kifo cha Mwangosi kule Nyororo alisimama kwenye vyombo vya habari akikanusha kuwa mwandishi marehemu Mwangosi hajauwawa na polisi bali kuna kitu kizito kilitokea upande ule wa pili akimaanisha cdm nani anaweza kumuamini Chagonja kwa sasa,mfano wa pili kuonyesha kuwa Chagonja haaminiki ni kuhusu lile tukio la majeneza mjini Tarime kutelekezwa barabarani huko Nyamongo mie nilikuwepo Chagonja kwa sehemu kubwa alihusika kwenye mpango ule kwa kutorosha majeneza ya marehemu usiku wa manane,na maiti hizo zikatelekezwa njiani ambapo polisi walihusika na mauaji yale ni nani anaweza kumuamini Chagonja na timu huyo iliyoundwa na IGP,kuwa itatenda haki.
Ikumbukwe kwamba kila nafsi itaonja mauti . Hakuna mwenye ujanja mbele ya muumba wakati wake ukifika hata uwe unalindwa na FBI bado mauti hupenya tu. Unaweza ukawadanganya wanadamu lkn mbele ya muumba hatuwezi kuficha kitu sijui siku hiyo ya mwisho itakuaje tu mara wenye haki , waliokatiliwa maisha yao kwa hila jinsi watavyokua wanamweleza Bwana yale waliyotendewa na wanadamu wenzao ee Mungu ama kweli siku hiyo itakuwa kilio na kusaga meno. Walikuwepo watawala wengi wenye nguvu lkn siku zao za kuishi duniani zilipoisha hawakua na jinsi isipokua kutii tu, sasa wamelala na nani anajua kinachowakabili huko. Naamini kilio cha mnyonge kitalipwa na mwenye haki.
NAPE alisema kuwa CHADEMA ndio wanahusika na mlipuko, mbona haambiwi alete ushahidi?
Hahahahaha umenichekesha sana mkuu kuhusu mzee wa Polanium. Hawatakaa wamteue tena au mzee Sitta.Hata hivyo Serikali imejifunza kuhusiana na hizi timu za uchunguzi. Walimpa kazi mzee wa polanium kuhusu Rich.. na akatenda kweli nusura serikali ing'ooke. Unadhani leo watatuma mtu ambaye yuko serious tena ili watikisike?
Halafu huyo Nape mimi sijui kama ni binadamu wa kawaida walah .Ushahidi wa nini tena angali walikaa meza moja kupanga mlipuko na hao policcm