Kamishina Chagonja apatwa na kigugumizi kuhusu bomu lililolipuka Arusha.

Kwa ulimwengu wa digital, huwezi ukadanganya kwa mbinu za enzi ya ujima,

Jamaa wamejifunza propaganda kwa enzi za zamani ambapo kufukia ukweli ni kutikisa tu ulimi,
Ushahidi wa Mwangosi kilichowaumbua ni ile video, na hawakuwa na pakutokea,
Hili la Arusha nalo ni hivyo hivyo maana kazi kubwa wanayofanya ni kujua video iko wapi kisha waharibu ushahidi.

Sasa ukimpa raisi video ili iweje, inamaana yeye hajui au ni kutafuta tu kujua jamii inajua kiasi gani hicho anachojua.

Kati ya vitu ambavyo huwezi kuviamini hata siku moja ni
1. police
2. ccm
3. wanaohusiana kwa ukaribu na hivi vyombo viwili.

Hapo kwenye Red - naomba nikusaidie kusema kwa uwazi - JK na Pinda
 
hivi chagonja anajisikiaje anaposimama kwenye public ambayo inafahamu udhaifu wake kuhusiana na kauli zake kuhusu kifo cha mwangosi pamoja na scandal ya mkewe? Kweli kuna watu hawana aibu.

Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums

wadau tujiulize,
hibi huyu chagonja alikuja arusha kumtaguta lema na mbowe au alikuja kuchunguza chanzo cha mlipuko soweto?
Haya ni matumizi mabaya ya kodi zs wstanzania huyu jama hastahili kuwa askari, nina mashaka sana na elimu yake, hata akiwa anaongea unaona kabisa yuko wazi huko kichwani
 
Jeshi la polisi limekosa haki ya kulinda raia na mali zake, wananchi tumekosa imani kabisa na polisi kama wanafanya kazi kwa weledi
hadi sasa najiuliza kwanini polisi walipiga mabomu na risasi majumbani kwa raia, kwenye maeneo ya biaashara na hata kwenye vituo vya mabasi. Polisi wanasajau wanaidhi mitaani na raia,
Nasema mingekuea nimempangishia polisi au jamaa wa polisi nyumba juzi ninge ngoa molango yote na kumupndoa na familia yake usiku huo wa jizi, polosi hawana hutuma na rsia. Hivi tukimuuliza Chagonja kisa cha kututesa Wana wa Arusha ni nini atakuwa na jibu au ataendeleza kiburi na propaganda kama alivyo zowea? Lakoni niseme CHEO NI DHAMANA NI POLISI ELEWENI HATAKUWA NA HIZO NAFASI MILELE.


Na ujumbe huu uwafikie wote wanaofikiri wao wanashika mpini kwa sasa ! Wanatakiwa WAJUE kuanzia sasa kuwa Muda wa CCM iliyokosa uadilifu na heshima kwa ubinadamu, muda wake unaelekea ukingoni. Na siku tutakapobadilisha serikali, pamoja na ukweli kwamba haitawezekana kuwafukuza kazi Polisi na Usalama wa Taifa wote, lakini itawezekana kuwachukulia hatua wale wote ambao walihusika na uvunjaji sheria kwa makusudi, kwa sababu zozote zile. Damu zilizomwagika na zitakzomwagika zitalipiwa tu. Hakutakuwa na sababu ya kuwaacha Majambazi na wauaji mitaani huku kukiwa na watu lukuki wanaosota magerezani kwa makosa ya kubambikiwa kama ya Mulundi wa Kenya wakati hata mtoto mdogo anaweza kujua hakuhusika na kumdhuru Ulimboka.( Ambapo Ulimboka yupo na ameshasema anawajua walimteka na mpaka sasa Polisi hawajataka kumsikiliza!) Hivi hawa nguruwe wanafikiri wao ni kina nani? Na ni mapunguani kiasi gani mpaka wanshindwa kuona kuwa vuguvugu la mabadiliko likoje? Ni mgonjwa gani huyo wa akili ambaye haoni kuwa CCM Muda wake umeisha.

Hongereni sana ila tambueni mwisho umekaribia..... Aluta Continua
 
Halafu huyo Nape mimi sijui kama ni binadamu wa kawaida walah .

Nikusaidie kidogo kuhusu Nape....ni mbwa koko asiye na haya, aliyefilisika, asiye na hoja,ambaye yuko tayari kumlamba yeyote miguu mradi awe anampa ahadi za kijinga za kumpandisha cheo. Ni kijana mwenye mawazo ya kizee, mpuuzi saaaana..... He is full of shit!........kwa mbaaaali that is Nape!
 
Inashangaza kuona kuwa Chagonja hajui kama wananchi hatuna imani na jeshi la polisi. Hii haijatokea kwa bahatimbaya ila ni kutokana na mtiririko wa matukio yaliyodhihirisha kuwa polisi wanafanya kazi bila weledi, hawana uhuru wa kufanya maamuzi ila wanafuata mashinikizo ya chama goigoi. Polisi wamekuwa wakatili wepesi wa kubambikizia kesi wananchi wasio na hatia huku wakiwaangalia mafisadi wa uchumi wetu na wezi wa rasilimali kama mashuja kwao.
Pamoja na matukio makubwa ya kiusalama yaliyowahikutokea mengi yakiwahusisha polisi moja kwa moja hakuna la maana walilowahi kulifanya katika mateso, mauaji na dhuruma.
Haishangazi kuwa Mwigulu bado anadunda mtaani na ndani ya vikao vya bunge.
Chagonja, angalia maandishi ukutani!


Kuna wakati napata shida kujua kama watu hawa wana akili timamu kweli
 
Akizungumza VoA muda mfupi anadai hajawaagiza chadema kupeleka ushahidi wao kwa Rais bali ni ushauri tu huku akijikanyanga kuwa kabla ya siku moja aliongea na mh Lema na kumwambia kuwa anaushahidi kuwa polisi hawakuhusika anamshangaa tena kubadilisha hiyo kauli yake,huku akidia mh mbowe alimweleza kuwa anafahamu kuwa polisi hawahusiki huyu si mwingine bali ndiyo huyu baada ya kifo cha Mwangosi kule Nyororo alisimama kwenye vyombo vya habari akikanusha kuwa mwandishi marehemu Mwangosi hajauwawa na polisi bali kuna kitu kizito kilitokea upande ule wa pili akimaanisha cdm nani anaweza kumuamini Chagonja kwa sasa,mfano wa pili kuonyesha kuwa Chagonja haaminiki ni kuhusu lile tukio la majeneza mjini Tarime kutelekezwa barabarani huko Nyamongo mie nilikuwepo Chagonja kwa sehemu kubwa alihusika kwenye mpango ule kwa kutorosha majeneza ya marehemu usiku wa manane,na maiti hizo zikatelekezwa njiani ambapo polisi walihusika na mauaji yale ni nani anaweza kumuamini Chagonja na timu huyo iliyoundwa na IGP,kuwa itatenda haki.

Paul-Chagonja.jpg


Ukitaka kujua watumishi wa umma waliozeeka vibaya ni mojawapo huyu Paul Chagonja.
 
wadau tujiulize,
hibi huyu chagonja alikuja arusha kumtaguta lema na mbowe au alikuja kuchunguza chanzo cha mlipuko soweto?
Haya ni matumizi mabaya ya kodi zs wstanzania huyu jama hastahili kuwa askari, nina mashaka sana na elimu yake, hata akiwa anaongea unaona kabisa yuko wazi huko kichwani

Naona wengi wanaumiza kichwa na swali la Chagonja alikwendafanya nini Arusha.... hiyo timu mbovu iliyopelekwa Arusha haikwenda kutafuta Mlipuaji, ilikwenda kusaidia kufukia na kupoteza ushahidi baada ya kulegalega kwa waloratibu zoezi la kuua Wananchi. ndiyo maana anakurupuka kwa miweweseko kama ametoka isingizini. Napenda ikumbukwe kuwa yeye ni mhalifu kama polisi wenzie tu na ana historia ya kuhusishwa na uhalifu. So msitegemee lolote hapo, achaneni na mibwege hiyo
 
Hata hivyo Serikali imejifunza kuhusiana na hizi timu za uchunguzi. Walimpa kazi mzee wa polanium kuhusu Rich.. na akatenda kweli nusura serikali ing'ooke. Unadhani leo watatuma mtu ambaye yuko serious tena ili watikisike?

Yaani Serikali yote jamaa kaijaza watu wasiojiweza. Anadhani anawapa zawadi. Viongozi wa usalama, polisi na Serikali siwezi kuwaachia hata mifugo yangu wanilindie. Wataipangia dili hawa. Hivi hawa watu walifikaje hapo walipo?

Tubuni kitu cha kuwapinga bila kuumiza raia...mfano mzuri ni kuacha kununua magazeti yote yanayosadikiwa kuwa ya afisadi. Kuacha kuangalia TV za mafisadi. Tuwazomee mikutanoni..nk
 
Paul-Chagonja.jpg


Ukitaka kujua watumishi wa umma waliozeeka vibaya ni mojawapo huyu Paul Chagonja.
Alifanya nini hadi kupata hizo nyota? ni nyota au ni vishikizo? maana sioni umahili wake katika kazi yake. Mtoto wangu wa miaka mitano anaweza kufanya kazi nzuri kuliko huyu jamaa.

Kwa sasa hivi kuwasikiliza hawa watu ni sawa sawa na kumwacha mtoto wa mwaka mmoja ajichagulie chakula anachotaka.

Hawa watu inabidi waachishwe kazi mara moja. Lowassa anajua mchezo wote unaochezwa ila yupo amejibanza anataka kutudanganya kuwa ataleta miujiza akiwa na hawa vipofu. Tumzuie haraka sana kabla hajafika mbali.
 
Nikusaidie kidogo kuhusu Nape....ni mbwa koko asiye na haya, aliyefilisika, asiye na hoja,ambaye yuko tayari kumlamba yeyote miguu mradi awe anampa ahadi za kijinga za kumpandisha cheo. Ni kijana mwenye mawazo ya kizee, mpuuzi saaaana..... He is full of shit!........kwa mbaaaali that is Nape!
Mmh Asante mkuu sasa nimeelewa manake nilikua Napata shida sana kumfahamu mtu huyu.
 
Wana JF mimi naomba kuuliza hivi huyu muheshimiwa Kagonja alichokuja kufanya Arusha haswa haswa ni kitu gani?kwasababu tangu juzi namsikia akisema Mbowe na Lema wajisalimishe polisi pamoja na kuleta ushahidi wanaodai wanao,nadhani alichotakiwa kufanya ni kutafuta ushahidi wake kwa kutumia makachero alionao kupata the truth behind the curtains,lakini sio jinsi anavyofany yeye,i think kama ndo aina ya viongozi tulionao ndo huu,i doubt their credibility seriously
 
Wana JF mimi naomba kuuliza hivi huyu muheshimiwa Kagonja alichokuja kufanya Arusha haswa haswa ni kitu gani?kwasababu tangu juzi namsikia akisema Mbowe na Lema wajisalimishe polisi pamoja na kuleta ushahidi wanaodai wanao,nadhani alichotakiwa kufanya ni kutafuta ushahidi wake kwa kutumia makachero alionao kupata the truth behind the curtains,lakini sio jinsi anavyofany yeye,i think kama ndo aina ya viongozi tulionao ndo huu,i doubt their credibility seriously

Auawe huko Arusha. Waziri Mkuu karuhusu kuuana
 
Back
Top Bottom