Kamfumania mumewe na housegirl!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaunga, Dec 26, 2011.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Wana MMU
  Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.

  Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!

  Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka Mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!

  Naomba mnisaidie tumshauri!
  Asante na happy holidays!
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kuachana ni kitu kikubwa sana,na kitamuathiri kisaikolojia maisha yake yote kuliko km atamsamehe. Please yamalizeni kifamilia tu ili amani iendelee kuwepo.
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Kaunga sorry for saying this but mara nyingi katika post zako umeonesha jinsi ulivo na hasira dhidi ya wanaume, I hope kua utapomshauri mdogoko utaweka hio hasira pembeni walau briefly... B2T...

  Haya ni mambo magumu saana, hasa yanapo husu wanandoa.... Many things have to be taken in consideration kabla mdogo wako hajaamua lolote. Vitu kama wanaishi vipi na mumewe? Ilikuaje mpaka mumewe akalala na huyo house gal? Tabia ya mumewe dhidi ya wanawake wengine (je ni kicheche?)? Attitude ya mumewe baaada ya kufumaniwa... Umri wa ndoa yao... Wana/hawana watoto? Applicability ya nafasi ya huyo mume ndani ya ndoa.... Na most importantly does she still have feelings for the hubby?
   
 4. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hakika sisi ni binadamu na siyo malaika, hivyo basi tutashawishiwa kwa kila kitu, huyo jamaa asamehewe tu, wakristu wanasisitiza upendo sijuwi wengine, 7x70 huo ni msamaha wake.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kama ishu ni kubaka,
  na nyinyi mnapenda haki
  basi mgeanzia kituo cha polisi kwanza
  huyo 'mhalifu' akamatwe.mengine yatakuja baadae...
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sure lazma uliyoyasema wayaangalie...kutengana kwahitaji analysis ya kina sana na ujasiri wa hali ya juu sana otherwise atajenga sononeko la moyo litakalomtesa sana.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  amsamehe
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kuendelea ndoa na mbakaji?
  kuachana atakufa au?
  mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tena akimsamehe huyo jamaa atakuwa mstaarabu than ever before,na mapenzi yake yatakuwa motomoto sana,pia kwa kumsamehe huyo dada atakuwa kaonyesha mapenzi yakweli na dhati. Asamehewe tu
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  amuulize tu huyo housegirl amempa kitu gani hadi kwake kakikosa labda dada kampatia ukameruni mr wa watu hoi..
  hilo ni wazo tu
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  labda mimi niko tofauti mno.....
  kila mwanaume mwenye uwezo wa kuwa na mke
  hawezi kukosa access ya wanawake as many as he wants..
  sasa why 'kubaka' housegirl????
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????
   
 13. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  nakuunga mkono, waachane

  inapofikia kusaliti, tena kwa kubaka, ndani ya nyumba mnayoishi, aiseeee..
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kabla hajaja huko kwako, kwanza ashughulikie hiyo kesi ya ubakaji, labda m,atokeo yake yatampa picha ya nini cha kufanya
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Aaachanenae huyo si mume ni mbakaji usipende binadamu mwenzako akutese .
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Alibaka au walikubaliana na huyo house girl? Kama alibaka naungana na The Boss kuna vyombo vya sheria kesi ipelekwe huko. Kama kulikuwa na makubaliano kati ya mume na house girl basi mke afikirie suala la kumsamehe mumewe!
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  kama kweli amembaka housegirl anapokuja kwako housegirl amemwacha wapi?
  Ameripoti polisi?

  Yeye ndo anajua tabia ya mume wake je amebaka wangapi?

  Kama si kweli housegirl hajabakwa,ila walikubaliana ametafakari hilo? Yupo tayari kuishi na mwanaume wa namna hiyo? Asiyeheshimu nyumba yake mwenyewe?
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
  Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.

  Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)

  Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)

  Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Binti kachukuliwa kwao; ningekuwa karibu hiyo ni hatua ya kwanza; as much as namuonea huruma huyo binti kwa umbali huu concern yangu ni mdogo wangu!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Hicho ndicho ninachokiwaza mimi; ila mama yake (mamdogo wangu) anamshauri avumilie akirecall kwenye familia baba nani alicheat mbona ndoa yaendelea!

  I aggree with u, amekuwa akicheat na wanawake wengine lkn Mdogo wangu amekuwa akivumilia, hii ya Housegirl tena under 18, ni mbaya zaidi!
   
Loading...