Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kabla hajaja huko kwako, kwanza ashughulikie hiyo kesi ya ubakaji, labda m,atokeo yake yatampa picha ya nini cha kufanya

Ngoja nicheck naye, nijue ndugu wa binti wanasemaje. Poor them, ngoja nimpigie nijue!
 
aisee una hakika amebaka au hasira zako zinakupelekea kusema hivyo?kumbuka unaweza kuta walikubaliana kupeana raha.mbili,be carefull ukiwa unadeal na wapendanao,unaweza kujititimua na kumshikilia bango waachane halafu mwisho wa siku akarudi mwenyewe kwa jamaa huku wewe ukionekana ****
 
amuulize tu huyo housegirl amempa kitu gani hadi kwake kakikosa labda dada kampatia ukameruni mr wa watu hoi..
hilo ni wazo tu

Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!
 
Kama alimbaka hapo hakuna msamaha maana hiyo tabia itaendelea, ni kama kula nyama ya mtu. Ila house girl ahojiwe vizuri walikubaliana au baba alimlazimisha kuingia naye chumbani? Kuna house girls wengine huvunja ndoa za watu na kuolewa wao
 
aisee una hakika amebaka au hasira zako zinakupelekea kusema hivyo?kumbuka unaweza kuta walikubaliana kupeana raha.mbili,be carefull ukiwa unadeal na wapendanao,unaweza kujititimua na kumshikilia bango waachane halafu mwisho wa siku akarudi mwenyewe kwa jamaa huku wewe ukionekana ****
....dada yangu yamenikuta kama ya jimmy (my x sio jina lake halisi) na loyce (my former maid); Elisha (mume wa mdogo wangu sio jina lake) kambaka msichana wa kazi, nilikuwa 9t, kesho nitampelka hospt ili twende police, mengi ntakupigia kesho......

Sio Hasira zangu, hiyo ndio SMS nimeedit majina tu!
 
lakini what is it with you na ndugu zako
and the type of men you pick.....????????

Looks like a family curse eeh!!!!
Nilivyokuwa binti kidogo shemeji yangu aning'ang'anie; l told mama. Tukiacha utani, experience zangu za male sp sio nzuri sana; mwanzo l vowed not to get married but maumbile yalisumbua! LOL
 
Wakae Wayamalize kuachana si suluhu kwani hakuna mwanaume mkamilfu linapokuja suala la wanawake, ingawa ubakaji ni suala gumu kidogo.
 
Kaunga sorry for saying this but mara nyingi katika post zako umeonesha jinsi ulivo na hasira dhidi ya wanaume, I hope kua utapomshauri mdogoko utaweka hio hasira pembeni walau briefly... B2T...

Haya ni mambo magumu saana, hasa yanapo husu wanandoa.... Many things have to be taken in consideration kabla mdogo wako hajaamua lolote. Vitu kama wanaishi vipi na mumewe? Ilikuaje mpaka mumewe akalala na huyo house gal? Tabia ya mumewe dhidi ya wanawake wengine (je ni kicheche?)? Attitude ya mumewe baaada ya kufumaniwa... Umri wa ndoa yao... Wana/hawana watoto? Applicability ya nafasi ya huyo mume ndani ya ndoa.... Na most importantly does she still have feelings for the hubby?


AshaDii hapo umemaliza, nadhani hivyo vitu ni muhimu sana kuviangalia kabla ya kuchukua uamuzi wowote.
 
kwa kusema tu kazi anayofanya, nimeweza pata picha ya ukubwa wa tatizo ulilonalo.

Kuvunja ndoa ni kazi kubwa sana

ila hiyo ndoa itakuwa mwiba kwake siku z
zote si kwa sababu kabaka housigelo ila kwa sababu ya tabia za watu wa kazi hiyo

kwa kweli ana tatizo, tena sio dogo ni tatizo haswaa.
Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)
 
huyo jamaa anamatatizo ya kisaikoloj yanayotokana na matatizo yk ya uzazi aliyonayo yanayopelekea kuparamia kila mwanamke akidhani huenda atampa ujauzito!
 
Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.

Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)

Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)

Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.

Kwa hii reaction ya shemeji yako, mpelekeni police. Mkumbushe mdogo wako kuwa wakati anafikiria maisha yake afikirie pia maisha ya huyo binti wa watu.
Mwanaume huyo ametenda kosa na bado anaonyesha dharau na ubabe. Hizi ni dalili tosha kuwa akisamehewa ataufanya ndio mchezo wake.
 
Looks like a family curse eeh!!!!
Nilivyokuwa binti kidogo shemeji yangu aning'ang'anie; l told mama. Tukiacha utani, experience zangu za male sp sio nzuri sana; mwanzo l vowed not to get married but maumbile yalisumbua! LOL

sio familly curse
kitaalam inaitwa rules of atractions....
hasa kama ulizaliwa ukaona abusive father au uncle....
usipoangalia ni hao hao tu utakaoweza ku pick....
wakija wengine wastaarabu utawaona wako boring au wako dhaifu
in your subcouncious real man lazima awe abusive kidogo...
jifunze namna ya kuondoa mambo yaliyo deep ndani ya subcouncious yako
 
Wakae Wayamalize kuachana si suluhu kwani hakuna mwanaume mkamilfu linapokuja suala la wanawake, ingawa ubakaji ni suala gumu kidogo.

Nitajaribu kumshauri kuhusu kuyamaliza; but she will get my total support akiamua vyovyote! She is a strong woman naimani she will recover.
 
Kweli inauma sana ukichukulia jamaa ni MBABE(kwa kuwafukuza wote as if alikuwa sahii kufanya hicho kitendo), hii inaonyesha kuwa mdogo wako hana substantial decisions on any issue with respect to her husband, hii ni hatari japo salama! Please mshauri mdogowako kuwa mvumilivu tu maana ataachana na wangapi vile hujui yupi atakutana nae na atakuwa na tabia gani? binafsi najua siko 100% mkamilifu though ningependa kuwa mkamilifu ili nisiwe kikwazo kwa lolote lile, please allow her to make a natural justice to the guilt hence they can enjoy their marriage, au wadau mnasemaje??
 
labda mimi niko tofauti mno.....
kila mwanaume mwenye uwezo wa kuwa na mke
hawezi kukosa access ya wanawake as many as he wants..
sasa why 'kubaka' housegirl????

Hayo mambo anatakiwa kufanyia nje ya hapo nyumbani, LAKINI HADI KUBAKA?
Are you sure shemeji yako akili zake ni sawa?
 
The boss you might be right to some extent, though l have never seen my father raising a finger to my mother, a voice yes! Cheating, well yes hadi waliseparate for 6 months, lkn ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na my aunties!
You are definetely right about founding wanaume wapole boring! Lkn kinyume cha upole sio kuwa abusive! I am attracted to mature, fun loving guys, bahati mbaya wengi wanakuwa vicheche!
 
Cc wanaume 2napiga nje,na 2nalala lodge kwa kucngzia safari za mikoani lakin hlo la jamaa la kuchapia ndan nyumban kwake! Watemane 2
 
Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????

Oh hapo umesema: Kama umegundu hiko basi DADA YAKO AMSAMEHE MUMEWE WAENDELEE NA MAISHA.
Na wewe uwe mstari wa mbele katika kumsaidia amalize tatizo hilo na waendelee na ndoa
 
The boss you might be right to some extent, though l have never seen my father raising a finger to my mother, a voice yes! Cheating, well yes hadi waliseparate for 6 months, lkn ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na my aunties!
You are definetely right about founding wanaume wapole boring! Lkn kinyume cha upole sio kuwa abusive! I am attracted to mature, fun loving guys, bahati mbaya wengi wanakuwa vicheche!


Most of women have eye the same guys you like, no wonder wanakuwa vicheche.
 
Back
Top Bottom