Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 607
Imagine ile video camera aliyekuwa nayo Marehemu ingepatikana, ichezwe tusikie maneno na vurugu za vipigo wakati ameshikiliwa na mapolisi! Ukiwa na ile kamera pamoja na picha tulizokwisha ziona, je kutokuwepo tena hoja ya tume huru? Pengine ipo haja ya kuwataka wanaharakati wadai ile kamera Kama evidence!
Kwa ustaarabu na udemokrasia polisi wangetakiwa wasalimishe mali zote za marehemu maana kamera ile inaweza ikawa Kati ya Hao polisi watano kwani Yule aw Sita aliumia au na Yule Askari KanzuSahau,itakuwa ilishachomwa moto siku nyingi bora uyatafute madini ya tanzanite kuliko kuitafuta ile kamera.Hii serikali tushaichoka wenye nchi(wananchi)
huyo mkuu wa polisi ni kama asemaye, siku ya leo utaiface hukumu yako katika ulimwengu mwingine! walaaniwe CCM na vizazi vyao, alaaniwe kikwete na serikali yake, walaaniwe polisi na jeshi la polisi! I HATE THIS GOVERNMENT!

hiki kifo kimeniuma sana kwakweli...damu ya mtu huyu itawadai wote walioimwaga kwasababu haikuwa na hatia...siku zote damu isiyokuwa na hatia huwa haiendi bure.