Kambi ya Jeshi yavamiwa Afrika yakusini

Kambi ya Jeshi yavamiwa Afrika yakusini

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
846
Watu wawili wanashikiliwa na Polisi kuhusiana na tukio lililotokea Weekend iliyopita ambapo Kambi ya jeshi ya wana maji iliyopo Simons town mjini Cape town Kuvamiwa na kuibwa UZI machine pistols, Zaidi ya70 hand grenades, and bullets. Hili ni tukio la aina yake kutokea na wananchi wanauliza imekuwaje kambi hiyo kuvamiwa na jeshi halikuwa na taarifa wala kifahamu uvamizi huo mpaka siku ya jumatatu.

source: www.facebook.com/tanzsauz
 
Hii nayo mpya aisee!! Nadhan wanajeshi wenyewe watakuwa wanahusika na wiz huu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kama wanajeshi tu wanaibiwa je wananchi wao wa kawaida wataponea wapi.
 
Back
Top Bottom