Kambi ya Iran yashambuliwa,18 wafariki

ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Mkuu kuna tofauti ya institution and political millitant group.
Kuna tofauti na taasisi na kundi la wanamgambo la kisiasa.
Hizbollah wanajihusisha na siasa za pale Lebanon km ilivyo Houth tu lakini wale wanafadhiliwa na Iran.
Pesa unazoziona zinawaletea jeuri Hizbollah na silaha zinazowaletea jeuri Hizbollah ni za Iran.
Hizbollah haisimamiwi na serikali ya Lebanon bali inajihusisha na harakati za serikali ya Lebanon.
Watu wapo mpaka Bungeni na wana wawakilishi wao unasema hawahusiani na serikali ya Lebanon?!

Kufadhiliwa na Iran wala haina shida maana hata vyama vyetu hapa nchini vinasaidiwa na nchi rafiki mfano Chadema inapewaga misaada na German na Ccm na CCP. Je huo msaada unatumika inavyotakiwa,lakini Hezbollah wanatumia misaada kutengeneza silaha!!

Na sasa baada ya vikwazo vya US kurudishwa ufadhili wa Iran kwa makundi yake umepungua kwa kiasi kikubwa,yeye mwenyewe tu hana fedha,shilingi yake imeshuka thamani kwa zaidi ya 60%, uchumi unaangamia.

Iran ilitumia mamilioni ya Dola kujenga mahandaki ambayo yangetumika na Hezbollah kuingia Israel wakati wa vita kumbe Israel kipindi chote walikua wanawaangalia tu wakisubiria yakamilike ili wayabomoe,na kweli mahandaki yamekamilika kabla hata hawajayatumia wayahudi wakayabomoa yote. Na hakuna kitu ilichothubutu kuwafanya Israel.
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Mtu anayejificha ficha anaweza rusha matangazo ktk vyombo vya habari????
Yule ni kama Ossama Bin Laden kuishi ktk kambi za maficho ni kawaida ila sio km anajificha.
We daily anaenda kituo chao cha tv pale Lebanon kutoa maneno ya vitisho kwa Israel unamjua mtu anayejificha kaka????
Mtu km Gaddafi ndiye aliyekua anajificha yan hata mjini agusi.
Tuletee ushahidi Mkuu akiwa anaenda hapo kituoni kutoa Habari (naomba link)

Hizo habari zinakua zinarekodiwa humohuko mashimoni halafu baadae wanazirusha kama wafanyavyo Viongozi wengine wa makundi ya kigaidi mfano Bokoharam, Alshabab. Unataka kunambia Bokoharam wana kituo Cha habari?! Au Alshabab?!
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Mkuu ACHA ZAKO WEW PUNGUZA MAHABA.
JUZI KATI HAPA WALIRUSHA MAKOMBORA YALIYOWAATHIRI MPK WATOTO NA WAKAWATISHA MASHIRIKA YA MSAADA KWENDA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA ILHALI HAMAS HAKURUSHA HT JIWE.
HAMAS ANA MIEZI KIBAO HAJAISHAMBULIA ISRAEL LAKINI ISRAEL WANAWAUA HAMAS MPK RAIA WA KAWAIDA WAKISINGIZIA KUWA WANATISHIA KUWASHAMBULIA KUMBE NI UONGO.
PUNGUZA MAHABA BASI.
HAMAS NA PALESTINES HUWA WANAONEWAGWA BURE SANA AISEE YAN JAMAA AKIJISKIA KURUSHA MAKOMBORA ANARUSHA TU PASI NA KUCHOKOZWA.
Mkuu Israel hua anawashambulia Hamas kulipiza kisasi baada ya Hamas kurusha makombora ndani ya Israel.

IDF wakitaka kushambulia maeneo ya raia hua wanarushiwa vikaratasi waondoke maeneo hayo wale wanaokufa ni wale wabishi.

The Israel Defense Forces launched a series of airstrikes on the Gaza Strip early Wednesday, just hours after terrorists fired two rockets the southern cities

https://www.timesofisrael.com/israeli-airstrikes-said-to-hit-gaza-after-2-rockets-fired-at-israeli-cities/
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Hata Bahrain na Qatar ni washirika wa Israel lakn Qatar anamuunga Iran ktk mambo yake kuliko Israel.
Qatar ambae anai recognize Israel km Pakistani anavyotaka kufanya anaisaidia Hamas kifedha walijua hilo kaka mkubwaaa???
Kutaka kushirikiana sio tatizo.
Tatizo je mtakua really allies km kutakua kuna hypocrisy km anayofanya Qatar???
Huo msaada wa Qatar kwa Gaza bila ruhusa ya Israel hauingii pale,unalijua hilo?!

In November, Qatar pledged to send $15 million to Gaza monthly as part of an informal agreement between Israel and Gaza's Islamist rulers Hamas.

Under that deal Israel allowed the grants to go through its territory in exchange for relative calm on the Gaza border.
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Bolton Says Iranian Oil Tanker Now In Syrian Port
Kama vikwanzo ni vikali kuliko vyote mbona bado wanauza mafuta! Hawa jamaa siwaelewi!!!
Marekani haijakataza Iran isiuze mafuta ila inadeal na Wateja wa hayo mafuta ndio maana atakaenunua ameambiwa atawekewa vikwazo.

Kwahiyo ni uamuzi wao,wanunue wapewe sanctions au waache ili wabaki salama. Ni maamuzi yao!!!!
 
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
598
Points
1,000
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
598 1,000

Sasa Mbna Wanauza Kama Hii Meli Si walitoa warant yakwamba ikamatwe

Yaani Mkuu Hueleweki Kiukweli US Baada Ya Hili Vugu Vugu lameli Ya IRAN Alisema Kwamba Meli ikamatwe maana inauza mafuta kiharamu Sasa Hapa Ume elewaje

Kama kakatazwa mnunuzi ama muuzaji

Yaani mpaka ss US kashachemka Namna Yakumdhibiti Muajemi Yaani Siombi Ila Nasema Uhalisia Ulivyo Njia Pekee Yakukabiliana Na IRAN Kwa sasa nikupitia VITA TENA YAKIJESHI

Maana kama vikwazo IRAN Haja Anzwa leo Kama kusema vikwazo vikali kuliko vya awali ina maana walikua wanamuekea IRAN Vikwazo vyepesi ili ajijenge kijeshi baadae washindwe kumdhibiti ama

Nikwamba IRAN anaweza kukabiliana vyema na vikwazo vya wamagharibi Japokua Kiuhalisia Vinauathiri Uchumi Wake kwanamna Moja Ama Nyengine

Nakukumbusha 2 Duniani Hakuna Nchi Inayo Kabiliwa navikwazo vingi vya kiuchumi vya Ulaya Na US Kama IRAN Ilapia Nikukumbushe IRAN Ndio Nchi Yapili Kwa Uchumi Imara Pale Mashariki Yakati

Ss hujiulizi kama jamaa vikwazo vinamuathiri na bado yupo kwa Top 2 ya uchumi Mkubwa na Imara mashariki Yakati Anatumia Njia Gani Kupambana nayo

Israel Saudia Jordan Misri Na Nyenginezo Hazina Hata Vikwazo vya kiuchumi hata kipande toka upande wowote ulimwenguni na bado ni Under Dog Kwa IRAN

IRAN sio VENEZUELA Sio KOREA KASKAZINI Sio CUBA Nawala Sio Zimbabwe
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Watu wapo mpaka Bungeni na wana wawakilishi wao unasema hawahusiani na serikali ya Lebanon?!

Kufadhiliwa na Iran wala haina shida maana hata vyama vyetu hapa nchini vinasaidiwa na nchi rafiki mfano Chadema inapewaga misaada na German na Ccm na CCP. Je huo msaada unatumika inavyotakiwa,lakini Hezbollah wanatumia misaada kutengeneza silaha!!

Na sasa baada ya vikwazo vya US kurudishwa ufadhili wa Iran kwa makundi yake umepungua kwa kiasi kikubwa,yeye mwenyewe tu hana fedha,shilingi yake imeshuka thamani kwa zaidi ya 60%, uchumi unaangamia.

Iran ilitumia mamilioni ya Dola kujenga mahandaki ambayo yangetumika na Hezbollah kuingia Israel wakati wa vita kumbe Israel kipindi chote walikua wanawaangalia tu wakisubiria yakamilike ili wayabomoe,na kweli mahandaki yamekamilika kabla hata hawajayatumia wayahudi wakayabomoa yote. Na hakuna kitu ilichothubutu kuwafanya Israel.
Bro naona hujanielewa.
Nimekwambia Hizbollah inashiriki ktk siasa za Lebanon lakini Hizbollah haikuanzishwa na wala haiendeshwi na serikali ya Lebanon.
Bali Hizbollah inajihusisha INAJIHUSISHA NA SIASA LEBANON.

Kuhusu kubomoa mahandaki jambo la kawaida vp kuhusu lile shambulio la juzi Hizbollah walilofanya na kuua makamanda wa Israel ????
Israel alifanya nn mbona hajaenda kuwatafuta Hizbollah alipize???
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Huo msaada wa Qatar kwa Gaza bila ruhusa ya Israel hauingii pale,unalijua hilo?!

In November, Qatar pledged to send $15 million to Gaza monthly as part of an informal agreement between Israel and Gaza's Islamist rulers Hamas.

Under that deal Israel allowed the grants to go through its territory in exchange for relative calm on the Gaza border.
Bro hayo maneno ht ktk khanga yapo yavaliwa.
Hela za Qatar zinaenda kwa Hamas daily mkuu na hilo halipingiki.
Labda wanajaribu kuzuia ila hawawez kuzuia hela zisiwafikie Hamas .
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Marekani haijakataza Iran isiuze mafuta ila inadeal na Wateja wa hayo mafuta ndio maana atakaenunua ameambiwa atawekewa vikwazo.

Kwahiyo ni uamuzi wao,wanunue wapewe sanctions au waache ili wabaki salama. Ni maamuzi yao!!!!
Mkuu China,Russia wananunua mafuta ya Iran.
Naomba unitajie lini China na Russia wameekewa vikwazo.
 
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
598
Points
1,000
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
598 1,000
Bro hayo maneno ht ktk khanga yapo yavaliwa.
Hela za Qatar zinaenda kwa Hamas daily mkuu na hilo halipingiki.
Labda wanajaribu kuzuia ila hawawez kuzuia hela zisiwafikie Hamas .
Jamaa ana hangaika 2 ana hisi WAYAHUDI Wapuuzi kiasi kwamba wakubaliane na Qatar Kuwapelekea Fedha Hamas Ambazo Wanazitumilia kwa mambo mengi ikiwemo wanayosema Israel kwamba Ugaidi Pamoja Na Kutengenezea Silaha Kwapesa Hizo Ambazo Zinautesa Utawala Wakizayuni Kisiasa Kiuchumi Nakijeshi

Kunamambo Yanachekesha sana kiukwwli Yaani Basi wayahudi watakua hawana akili kabisaaa kama ni hv
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,981
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,981 2,000
mkuu @zekokuyo,,israel huwa anaruhusu pesa za qatar ziingie gaza ili kuwatuliza maana wakiwaacha bila kuwapa pesa kitanuka mda wotte na wanaweza kuingia israel kwa nguvu,,sasa nikuulize msaada wa iran kuja kwa hamas,huko Gaza hupitia wapi?
 
Me mwenyewe nashangaa Mkuu.
Hela Hamas zinaenda kisiri haziendi kiwaz km anavyotaka kuaminisha huyu jamaa.
Km unataka kugundua hilo mwaka huu mwanzon Israel walirusha makombora makali sana ambayo yaliathiri afya za waGhazar na yaliathiri ardhi pia madaktari wa WHO walisema kuwa Ghazar iamwe kwa muda haifai kukaliwa kwa wakat huo ili watu wapate matibabu na ardhi kufanyiwa reclamation.
Lakn Israel alionya watu Ghazar wasipate msaada ht wa madawa.
Chakushangaza baada ya two weeks watu wa Ghazar wanapata matibabu jiulize hela zimetoka wap za kusaidia madawa ya matibabu???
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
mkuu @zekokuyo,,israel huwa anaruhusu pesa za qatar ziingie gaza ili kuwatuliza maana wakiwaacha bila kuwapa pesa kitanuka mda wotte na wanaweza kuingia israel kwa nguvu,,sasa nikuulize msaada wa iran kuja kwa hamas,huko Gaza hupitia wapi?
Kina nani wanatulizwa Mkuu embu toa ufafanuzi??
 
G

Gitarijosenga

Senior Member
Joined
Aug 3, 2019
Messages
177
Points
250
G

Gitarijosenga

Senior Member
Joined Aug 3, 2019
177 250
Hawa Irani mambuzi watakwisha asee
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,981
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,981 2,000
Ni kuwa Gaza huwa kuna maandamano kila wiki na huwa yanatishia kuvuka mpaka,na hii hutokana na israel kuendelea kuiwekea gaza blockade na hivyo ajira zinakuwa shida,
israel wanajua kuwa ukikandamiza zaidi gaza watu wataamua liwalo na liwe na wataenda front,na israel haina uwezo wa kuzuia watu milioni 2 wa gaza kama wataamua kurise kikwelikweli,
sasa israel inakuwa haina jinsi bali kuruhusu magari ya vitu mbalimbali kama mafuta etc yaingie gaza,kumbuka Gaza iko blockaded,
hawa Qatar sawa wanaunga mkono Hamas,juu Hamas ni muslim brotherhood,
sasa Qatar kila mwezi anagawa pesa kwa kaya zaidi ya 60,000 za gaza,zinapewa dola 100,
bila hivyo watu watakuwa hawana alternative nyingine zaidi ya kuamua kupambana na israel
 
Duh basi hii ni belaa tena sio ndogo.
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,458
Points
2,000
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,458 2,000
Mjinga huhesabu mwanzo jambo na kushangilia,
Mwerevu hungoja mwisho wa jambo ndo awe na la kusema
Dunia ipi hii inayopelekeshwa na israel wao si walisema miradi ya nyuklia ya iran itasmamishwa kwa gharama zozote zile hata kijeshi

Ss mbna wanaume wanapiga kazi 2

Iran ipo iran kijana haipo syria wala Iraq
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,981
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,981 2,000
majuzi hapa Trump anasema anatumaini watakutana na rais wa iran pindi akihudhuria mkutano wa UN, basi jumatatu Trump akatoa wazo walegeze vikwazo iran ili kumshawishi rais wa iran akutane na Trump,kwani Iran walishagoma tangu mwaka juzi rais wao kukutana na Trump, john Bolton akawaka kuwa haiwezekani vikwazo vilegezwe,Trump akamwambia achia ngazi
 
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
598
Points
1,000
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
598 1,000
majuzi hapa Trump anasema anatumaini watakutana na rais wa iran pindi akihudhuria mkutano wa UN, basi jumatatu Trump akatoa wazo walegeze vikwazo iran ili kumshawishi rais wa iran akutane na Trump,kwani Iran walishagoma tangu mwaka juzi rais wao kukutana na Trump, john Bolton akawaka kuwa haiwezekani vikwazo vilegezwe,Trump akamwambia achia ngazi
Kama hawatarejelea katika makubaliano ya JCPOA Sidhanii kama wajamaa watarejelea wala kupendelea kktana nae na kama

Uchaguzi utakua haujapta ndio kabsaa maana anachotafta ni attention yakwenye Uchaguzi
 
Forum statistics

Threads 1,335,182
Members 512,245
Posts 32,498,303
Top