Kambi ya Iran yashambuliwa,18 wafariki

Huko ni kutwanga maji kwenye kinu je kuna lolote walofanikiwa US kwa kuweka sanctions kwa Chinese companies ??!
Jibu laa watu wanazid kuendelea na biashara kat ya China na Iran zinaendelea vile vile.
Kama ni kutwanga maji kwenye kinu,jiulize kwanini baada ya sanctions China imepunguza sana kununua mafuta ya Iran na kugeukia kwa Saudi Arabia

China has tapped Saudi Arabia for a record volume of crude as the world’s biggest exporter plugs a shortage from sanctions-hit Iran.

Asia’s biggest buyer shipped 7.72 million metric tons of crude, or 1.89 million barrels a day, from Saudi Arabia last month, according to data from China’s General Administration of Customs. Shipments from the OPEC producer made up almost a fifth of its total oil purchases in June and was 64% higher than the previous month. Imports from Iran fell to the lowest since May 2010.
 
Bro hyo Hamas ni kikundi kinachopingana na Israel,hvyo hawawez kusaidiwa rasmi km udhaniavyo.
Kusaidiwa wanasaidiwa ila sio rasmi km hzo hela zinazotolewa kwenda kwa kaya za wapalestina officially.

Hizbollah anafadhiliwa na Iran je kuna official statement inayoelezea??
Laa hakuna ila huo ndio ukweli.
Hahaha...Mkuu unanifurahisha,official statement gani sasa wakati hizo fedha zinaenda kuisaidia Gaza japo sikatai baadhi zinaweza kwenda kwa Hamas.

Hata baada ya Vita kati ya Israel na Hamas 2014, Qatar ndio ilijitolea kutoa mamilioni ya Dola kuijenga tena Gaza ambayo iliharibiwa na Vita
 
majuzi hapa Trump anasema anatumaini watakutana na rais wa iran pindi akihudhuria mkutano wa UN, basi jumatatu Trump akatoa wazo walegeze vikwazo iran ili kumshawishi rais wa iran akutane na Trump,kwani Iran walishagoma tangu mwaka juzi rais wao kukutana na Trump, john Bolton akawaka kuwa haiwezekani vikwazo vilegezwe,Trump akamwambia achia ngazi
Hizo ni report tu zimetoka lakini Trump mwenyewe hajathibisha kulegeza wala kuondoa vikwazo.
Na wiki iliyopita wameongeza tena vikwazo kwenye idara ya utafiti wa anga za juu ya Iran.
 
@zekokuyo ,Hamasi huwa wanavuka mpaka mbona?,juzi juzi hapa walivuka wakaingia kambi ya jeshi la israel na kuchukua silaha,unataka nikupe link au paste?
 
swala zima nikurusha ngumi idf wanapiga popote wale scout wa revolutionary guards Iraq,syria, na kwengineko lakini lini revolutionary guards kawapiga idf direct yani unapigwa then wewe unapiga kwa kujificha kwa mgongo wa Hezbollah dooh! nyie endeleeni tu kuwapiga civilians vita ni miaka 200 mbele saivi nivichapo tu.
Idf wanapiga iran direct lini mkuu

Lini umesikia wameshambulia tehran hao wana sayans wanao uliwa wanauliwa kimya kimya na magaidi den wanasepa
 
Naona umeshikilia ya kwamba Iran ni ya Pili kwa uchumi mkubwa kwenye lile eneo lakini umesahau vitu vinavyofanya iwe hivyo kama vile ukubwa wa nchi,idadi ya watu,nk. Kumbuka hata India ina uchumi mkubwa kuliko Ufaransa lakini raia wa Ufaransa wanaishi maisha mazuri(wako vizuri) kuliko wahindi ambao wengi ni maskini. Kwa Iran hivyohivyo ina uchumi mkubwa lakini tukija kwenye maisha ya wananchi hali ni tete,hali mbaya,fedha haina thamani,mfumuko wa bei,mpaka watu wanaingia barabarani kuandamana sababu hali ni mbaya.

Iran sio nchi yenye vikwazo vikali sana Duniani,North Korea ndio inaongoza sababu Ina vikwazo vya EU,UN,USA,nk...Iran kwa sasa Ina vikwazo vya Marekani tu lakini hali ni mbaya ndio maana kila siku wanatishia Ulaya kuacha kutekeleza masharti ya Nuclear deal ili waonewe huruma.

Baada ya vikwazo vya hivi sasa,Uchumi wa Iran kwa 2019 umepungua kasi ya kukua.Na kama vikwazo vikiendelea hali itaendelea kua mbaya zaidi.
Yaani hio konsept uelewe yakwamba uchumi wa iran hauathiriwi na vikwazo bali raia ndio wanao athirika mkuu

Napili suala la korea anaekewa vikwazo sawa ila hajawahi ekewa vikwazo vikali kama vya iran hio hata pentagon na nyumba nyeupe wenyewe wanakiri yakwamba vikwazo vya iran ndio vikwazo vyahali yajuu kabisa kuwahi kuekewa taifa lolote lile ulimwenguni

Ila bado iran ipo strong japokua suala la raia wake kuumia halina ubishi yakwamba nikweli wana athirika na vikwazo sana sana sanaa
 
Yani raia wanaumia halafu uchumi unaenda vizuri?! Aseee kweli haya ni maajabu,kwahyo serikali ikitaka Kodi inapataje wakati raia hawana kitu?! Au inawanyonga?!
Yani PPP ipungue halafu GDP iongozeke?!kweli hii Kali, Wachumi naomba tusaidieni...

Mkuu acha ubishi,sasa unafananishaje nchi ambayo imewekewa sanctions na nchi moja na nyingine ambayo imewekewa sanctions na Dunia (UN)?! Embu tufafanulie...

Halafu pentagon inahusika vipi na vikwazo?!
 
Suala la uimara wa uchumi wa iran kama taifa lipo wazi

Halaf suala la kuekewa vikwazo na dunia inategemea imeekewa vikwazo gani

Halaf hapa nlikusudia wizara ya fedha ya US Sio Pentagon na wenyewe walikiri yakwamba vikwazo ama mashinikizo dhidi ya IRAN Ndio Mashinikizo Yahali Yajuu Kuwahi Kuekwa Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Ulimwenguni
 
Back
Top Bottom