HahahZe Kukoyo, wakichapwa anatundukiwa drip anatokomea kusiko julikana Frank wanjiru yeye bado hajatupa tarifa kama meli ya Iran imekatwa au bado!!
Hiyo drone haijatunguliwa imeanguka yenyeweZikidondoshwa hasemi
Hezbollah downs ‘another Israeli drone’ after vowing no tolerance to airspace violations
Iran ndio iliyoanza kuapa kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia tangu 1979 ilipokua nchi ya kiislamu rasmi,lakini mpaka leo Israel ipo.Dunia ipi hii inayopelekeshwa na israel[emoji23][emoji23] wao si walisema miradi ya nyuklia ya iran itasmamishwa kwa gharama zozote zile hata kijeshi
Ss mbna wanaume wanapiga kazi 2
Iran ipo iran kijana haipo syria wala Iraq
Iran alishatangaza awali yakwamba hataki mchezo na anga lake 2 huko kwengne sio kwake aende akapige iran aache mboyoyo miiingi[emoji23][emoji23][emoji23]Kama nawe unaona adui yenu anaingilia na kufanya uharibifu kwa ndugu yako si uingilie kumtetea? Iran naye kwa nini nduguye anapigwa na Wazayuni halafu anakaa kimya? Si aingilie?
Vv
Iran anatangaza kila leo na anaswma kabisa yakwamba hajawahi na hatawahi ishambulia nchi nyengine ila hata kaa kimya ikitokea mpuuzi yyte kajarb kumshambulianyie mnaosema Israeli ashambulie Irani kwanini isiwe kinyume chake kama kweli Irani anajiamini basi aanze yeye kushambuliwa lakini kama akili yake inamtuma kwamba ajage ashambulie kwa kutumia base atakazozijenga iraq au syria basi kila siku atakuwa anachapwa tu
Mwanzo ulisema hakna drone ilo anguka ss hv unasema ime anguka yenyewe[emoji16][emoji16] usijali utakuja ushahidi wawazi mbnaHahahHiyo drone haijatunguliwa imeanguka yenyewe
https://www.google.com/amp/s/m.jpos...own-Israeli-drone-Lebanese-reports-601070/amp
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iran ndio iliyoanza kuapa kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia tangu 1979 ilipokua nchi ya kiislamu rasmi,lakini mpaka leo Israel ipo.
Kuhusu nyuklia Israel kashaua wanasayansi wa nyuklia wa Iran tena ndani ya Irani,walipenyeza virusi vya kuharibu mitambo ya nyuklia...lakini je mpaka sasa Iran imeifanya nini Israel?!
Zikidondoshwa hasemi
Hezbollah downs ‘another Israeli drone’ after vowing no tolerance to airspace violations
Kwanini yeye Iran asiishambulie Israel wakati kila siku ni askari wake wanauawa.Wayahudi Waache Ushamba Na Upuuzi
Wakitaka IRAN Asifanye Anayo Yafanya Kujenga Hizo Kamb hko anapojenga
Inakiwa Apasue pale Pale IRAN Kupiga Nje Ya Iran Nimatumizi mabaya yarasilimali Za WAYAHUDI Pia [emoji14][emoji14][emoji14]
Wakichapwa lazima akimbilie kusiko julikanaMzee baba ulikuwa wapi
Heheheh kweli hana wasi wasi mbna kila wakat analalama ss kama IRAN Anafadhili na kuunda vijikundi vdogo vdogo wakat iran mwenyewe ana kanushaKwanini yeye Iran asiishambulie Israel wakati kila siku ni askari wake wanauawa.
Israel yeye hana noma kwa kuendelea ku deal na Proxy wa Iran kwake ni opportunity kwani anapata firld ya kuendelea kuimarisha uwezo wake wa kijasusi katika kufuatilia maadui zake na uwezo wa kijeshi kuwaangaamiza.
Ni kama Israel anapenda Iran iendelee na hiyo michakato yake ili Israel iendelee kuimarika.
Ila muda si mrefu Iran naye atatengenezewa proxy pale mpakani na wengine wataingia hadi ndani. Iran hauhitaji kuivamia kijeshi, unawamwagia upupu.
Ndugu yangu acha kuchekesha watu.Kwanini yeye Iran asiishambulie Israel wakati kila siku ni askari wake wanauawa.
Israel yeye hana noma kwa kuendelea ku deal na Proxy wa Iran kwake ni opportunity kwani anapata firld ya kuendelea kuimarisha uwezo wake wa kijasusi katika kufuatilia maadui zake na uwezo wa kijeshi kuwaangaamiza.
Ni kama Israel anapenda Iran iendelee na hiyo michakato yake ili Israel iendelee kuimarika.
Ila muda si mrefu Iran naye atatengenezewa proxy pale mpakani na wengine wataingia hadi ndani. Iran hauhitaji kuivamia kijeshi, unawamwagia upupu.
Mbona picha hawaweki????Zikidondoshwa hasemi
Hezbollah downs ‘another Israeli drone’ after vowing no tolerance to airspace violations
Mpaka hapo inaonyesha wazi kwamba intelligence ya Israel ipo juu kuizidi Ile ya Iran,Mossad wanaingia Iran wanaua na kutoka bila kudakwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna hoja yakimantiki hapa
Hata sergei skripal jasusi wa kiingereza alipewa sumu ndani ya UK umeona nn UK Kamfanya RUSSIA
Kuhusu kuuliwa wana sayansi wa kiirani wayahudi wanavizia kama WAASI wengine 2 ila bado licha ya kuwaua hao wanasayans bado miradi ya nyuklia iran ipo [emoji4]
Iran sera yake ipo wazi hajawahi anzisha vita na m2 ama taifa lolote lile ila hata kaa kimya ikitokea kashambuliwa
US Na Western Ndio walitangaza kuifuta iran punde 2 baaada ya mapinduzi nchini iran ila soon iran inapeleka satelte tatu huko anga za mbali
Israel Aache Twaarab Apige Tehran Sio Anaimba Imba 2