Kambi ya Iran yashambuliwa,18 wafariki

L

love it or hate it

Member
Joined
Jul 28, 2019
Messages
5
Points
45
L

love it or hate it

Member
Joined Jul 28, 2019
5 45
lakini nyie wapambe wa iran mbona mnagongwa na kugongeka daily lakini hamrushi hata ngumi tujue kua mpo hai vitisho vingi eti mnamiliki makombora yatumieni kwanza siku ikitokea direct war na Israel ataziharibu siraha zenu huko huko iran waulizeni mashemeji zenu apo middle east 6 days war kichapo cha adabu hadi wakaanza kutafutana
jangwani
 
Al assad

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Messages
755
Points
1,000
Al assad

Al assad

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2017
755 1,000
Kasomeni

Geneva conventions

Rules of engagement

Ili siku nyingine musiwe munachangia hoja kimihemko..
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
lakini nyie wapambe wa iran mbona mnagongwa na kugongeka daily lakini hamrushi hata ngumi tujue kua mpo hai vitisho vingi eti mnamiliki makombora yatumieni kwanza siku ikitokea direct war na Israel ataziharibu siraha zenu huko huko iran waulizeni mashemeji zenu apo middle east 6 days war kichapo cha adabu hadi wakaanza kutafutana
jangwani
Hiyo six days war walishiriki imperialists japo kwa siri na kuna msaliti alowasaliti waarabu na kuyarejesha majeshi yalipotaka kufika kippuri.
Na huyo Israel kwann asibomoe makombora ya iran sasa hv anaenda kulipua vijikambi vya proxy iran???
Km yeye kidume azame iran.
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
844
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
844 500
Hiyo ni danganya toto ya Iran, kwa jamii ya kimataifa, ili ionekane amechokozwa yeye! kweli yale ma-toy yameteketezwa pale. ili Israel ihesbiwe kosa.
 
L

love it or hate it

Member
Joined
Jul 28, 2019
Messages
5
Points
45
L

love it or hate it

Member
Joined Jul 28, 2019
5 45
Hiyo six days war walishiriki imperialists japo kwa siri na kuna msaliti alowasaliti waarabu na kuyarejesha majeshi yalipotaka kufika kippuri.
Na huyo Israel kwann asibomoe makombora ya iran sasa hv anaenda kulipua vijikambi vya proxy iran???
Km yeye kidume azame iran.
swala zima nikurusha ngumi idf wanapiga popote wale scout wa revolutionary guards Iraq,syria, na kwengineko lakini lini revolutionary guards kawapiga idf direct yani unapigwa then wewe unapiga kwa kujificha kwa mgongo wa Hezbollah dooh! nyie endeleeni tu kuwapiga civilians vita ni miaka 200 mbele saivi nivichapo tu.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
swala zima nikurusha ngumi idf wanapiga popote wale scout wa revolutionary guards Iraq,syria, na kwengineko lakini lini revolutionary guards kawapiga idf direct yani unapigwa then wewe unapiga kwa kujificha kwa mgongo wa Hezbollah dooh! nyie endeleeni tu kuwapiga civilians vita ni miaka 200 mbele saivi nivichapo tu.
Unajidanganya.
IDF hawakuwahi fanya direct attack kwa Iran revolutionary Guards cops.Wao IDF wanaenda kulipua vikambi vduchu vduchu ilhali wanaacha makambi makubwa yenyewe ya Iran.
Iran yeye anampa silaha Hizbollah na fedha bas wachapane na IDF.
Asa km mtoto mtu anamsumbua Israel baba mtu je Iran atamfanyaje?!!
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Sasa Mbna Wanauza Kama Hii Meli Si walitoa warant yakwamba ikamatwe

Yaani Mkuu Hueleweki Kiukweli US Baada Ya Hili Vugu Vugu lameli Ya IRAN Alisema Kwamba Meli ikamatwe maana inauza mafuta kiharamu Sasa Hapa Ume elewaje

Kama kakatazwa mnunuzi ama muuzaji

Yaani mpaka ss US kashachemka Namna Yakumdhibiti Muajemi Yaani Siombi Ila Nasema Uhalisia Ulivyo Njia Pekee Yakukabiliana Na IRAN Kwa sasa nikupitia VITA TENA YAKIJESHI

Maana kama vikwazo IRAN Haja Anzwa leo Kama kusema vikwazo vikali kuliko vya awali ina maana walikua wanamuekea IRAN Vikwazo vyepesi ili ajijenge kijeshi baadae washindwe kumdhibiti ama

Nikwamba IRAN anaweza kukabiliana vyema na vikwazo vya wamagharibi Japokua Kiuhalisia Vinauathiri Uchumi Wake kwanamna Moja Ama Nyengine

Nakukumbusha 2 Duniani Hakuna Nchi Inayo Kabiliwa navikwazo vingi vya kiuchumi vya Ulaya Na US Kama IRAN Ilapia Nikukumbushe IRAN Ndio Nchi Yapili Kwa Uchumi Imara Pale Mashariki Yakati

Ss hujiulizi kama jamaa vikwazo vinamuathiri na bado yupo kwa Top 2 ya uchumi Mkubwa na Imara mashariki Yakati Anatumia Njia Gani Kupambana nayo

Israel Saudia Jordan Misri Na Nyenginezo Hazina Hata Vikwazo vya kiuchumi hata kipande toka upande wowote ulimwenguni na bado ni Under Dog Kwa IRAN


IRAN sio VENEZUELA Sio KOREA KASKAZINI Sio CUBA Nawala Sio Zimbabwe
Naona umeshikilia ya kwamba Iran ni ya Pili kwa uchumi mkubwa kwenye lile eneo lakini umesahau vitu vinavyofanya iwe hivyo kama vile ukubwa wa nchi,idadi ya watu,nk. Kumbuka hata India ina uchumi mkubwa kuliko Ufaransa lakini raia wa Ufaransa wanaishi maisha mazuri(wako vizuri) kuliko wahindi ambao wengi ni maskini. Kwa Iran hivyohivyo ina uchumi mkubwa lakini tukija kwenye maisha ya wananchi hali ni tete,hali mbaya,fedha haina thamani,mfumuko wa bei,mpaka watu wanaingia barabarani kuandamana sababu hali ni mbaya.

Iran sio nchi yenye vikwazo vikali sana Duniani,North Korea ndio inaongoza sababu Ina vikwazo vya EU,UN,USA,nk...Iran kwa sasa Ina vikwazo vya Marekani tu lakini hali ni mbaya ndio maana kila siku wanatishia Ulaya kuacha kutekeleza masharti ya Nuclear deal ili waonewe huruma.

Baada ya vikwazo vya hivi sasa,Uchumi wa Iran kwa 2019 umepungua kasi ya kukua.Na kama vikwazo vikiendelea hali itaendelea kua mbaya zaidi.
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Bro naona hujanielewa.
Nimekwambia Hizbollah inashiriki ktk siasa za Lebanon lakini Hizbollah haikuanzishwa na wala haiendeshwi na serikali ya Lebanon.
Bali Hizbollah inajihusisha INAJIHUSISHA NA SIASA LEBANON.

Kuhusu kubomoa mahandaki jambo la kawaida vp kuhusu lile shambulio la juzi Hizbollah walilofanya na kuua makamanda wa Israel ????
Israel alifanya nn mbona hajaenda kuwatafuta Hizbollah alipize???
Hakuna kamanda aliyeuawa. Hizo Habari umezitoa wapi?! Weka link tusome
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
Bro hayo maneno ht ktk khanga yapo yavaliwa.
Hela za Qatar zinaenda kwa Hamas daily mkuu na hilo halipingiki.
Labda wanajaribu kuzuia ila hawawez kuzuia hela zisiwafikie Hamas .
Qatar haisaidii Hamas Ila inasaidia familia zote za Gaza.
Na wanafanya kazi kwa ushirikiano na Israel.

GAZA/JERUSALEM (Reuters) - A Qatari technical delegation held talks in Israel and the Gaza Strip this week about helping pay for a proposed new power line between them, officials on both sides said on Tuesday, marking a potential expansion of Doha's aid efforts for Palestinians.

https://www.google.com/amp/s/mobile.reuters.com/article/amp/idUSKCN1TJ0YN
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Qatar haisaidii Hamas Ila inasaidia familia zote za Gaza.
Na wanafanya kazi kwa ushirikiano na Israel.

GAZA/JERUSALEM (Reuters) - A Qatari technical delegation held talks in Israel and the Gaza Strip this week about helping pay for a proposed new power line between them, officials on both sides said on Tuesday, marking a potential expansion of Doha's aid efforts for Palestinians.

https://www.google.com/amp/s/mobile.reuters.com/article/amp/idUSKCN1TJ0YN
Bro hyo Hamas ni kikundi kinachopingana na Israel,hvyo hawawez kusaidiwa rasmi km udhaniavyo.
Kusaidiwa wanasaidiwa ila sio rasmi km hzo hela zinazotolewa kwenda kwa kaya za wapalestina officially.

Hizbollah anafadhiliwa na Iran je kuna official statement inayoelezea??
Laa hakuna ila huo ndio ukweli.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Hong Kong(CNN Business)The United States has slapped sanctions on a Chinese company for importing Iranian crude in violation of US restrictions on Iran's oil industry.

https://www.google.com/amp/s/amp.cnn.com/cnn/2019/07/23/business/zhuhai-zhenrong-company/index.html
Huko ni kutwanga maji kwenye kinu je kuna lolote walofanikiwa US kwa kuweka sanctions kwa Chinese companies ??!
Jibu laa watu wanazid kuendelea na biashara kat ya China na Iran zinaendelea vile vile.
 
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,616
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,616 2,000
mkuu @zekokuyo,,israel huwa anaruhusu pesa za qatar ziingie gaza ili kuwatuliza maana wakiwaacha bila kuwapa pesa kitanuka mda wotte na wanaweza kuingia israel kwa nguvu,,sasa nikuulize msaada wa iran kuja kwa hamas,huko Gaza hupitia wapi?
Hakuna wa kuweza kuvuka ule mpaka pale...Walijaribu nadhani unakumbuka lilichowapata
Gaza border protests: 190 killed and 28,000 injured in a year of bloodshed

https://www.theguardian.com/world/ng-interactive/2019/mar/29/a-year-of-bloodshed-at-gaza-border-protests
Me mwenyewe nashangaa Mkuu.
Hela Hamas zinaenda kisiri haziendi kiwaz km anavyotaka kuaminisha huyu jamaa.
Km unataka kugundua hilo mwaka huu mwanzon Israel walirusha makombora makali sana ambayo yaliathiri afya za waGhazar na yaliathiri ardhi pia madaktari wa WHO walisema kuwa Ghazar iamwe kwa muda haifai kukaliwa kwa wakat huo ili watu wapate matibabu na ardhi kufanyiwa reclamation.
Lakn Israel alionya watu Ghazar wasipate msaada ht wa madawa.
Chakushangaza baada ya two weeks watu wa Ghazar wanapata matibabu jiulize hela zimetoka wap za kusaidia madawa ya matibabu???
Kina nani wanatulizwa Mkuu embu toa ufafanuzi??
Sasa nadhani ushaelewa kwamba hizo fedha hapiti bila Israel kuruhusu
Duh basi hii ni belaa tena sio ndogo.
 

Forum statistics

Threads 1,335,181
Members 512,245
Posts 32,498,221
Top