Kumbe what was attacked is Iran backed militia in Syria? Mleta mada acha kuharibu uhalisi wa taarifa.Unidentified aircraft launched strikes on a base belonging to an Iran-backed militia in Syria, near the border with Iraq, killing several people early Monday, an observer and Arabic media reported.
Ebu tuwekee hiyo ripoti ya umoja wa mataifa tuione.Mpaka hapo inaonyesha wazi kwamba intelligence ya Israel ipo juu kuizidi Ile ya Iran,Mossad wanaingia Iran wanaua na kutoka bila kudakwa.
Mwaka Jana kwenye UNGA Netanyahu alitoa location ambapo Iran ilikua ikifanya kwa Siri miradi yake ya nyuklia pamoja na kuiba Siri kibao za Iran. Jana wachunguzi wa UN wamethibitisha madai ya Netanyahu kwamba ni kweli eneo hilo lilikua likitumiwa na Iran kwa siri sana kufanya kufanya mipango yake ya kutaka kuunda bomu la nyuklia. Hapa inaonyesha kwamba Mossad wametapakaa ndani ya serikali ya Iran. Jana Netanyahu kawaambia wazi kwamba "watakachoficha Israel itakifichua,wanachokifanya Israel inajua na inapofanya Israel inapajua"
Kuwepo makachero wa ISRAEL Naomba Nikwambie Sio IRAN tuu Duniani Jamaa wamejaaMpaka hapo inaonyesha wazi kwamba intelligence ya Israel ipo juu kuizidi Ile ya Iran,Mossad wanaingia Iran wanaua na kutoka bila kudakwa.
Mwaka Jana kwenye UNGA Netanyahu alitoa location ambapo Iran ilikua ikifanya kwa Siri miradi yake ya nyuklia pamoja na kuiba Siri kibao za Iran. Jana wachunguzi wa UN wamethibitisha madai ya Netanyahu kwamba ni kweli eneo hilo lilikua likitumiwa na Iran kwa siri sana kufanya kufanya mipango yake ya kutaka kuunda bomu la nyuklia. Hapa inaonyesha kwamba Mossad wametapakaa ndani ya serikali ya Iran. Jana Netanyahu kawaambia wazi kwamba "watakachoficha Israel itakifichua,wanachokifanya Israel inajua na inapofanya Israel inapajua"
https://www.google.com/amp/s/www.al...-traces-iran-site-report-190909014817150.htmlEbu tuwekee hiyo ripoti ya umoja wa mataifa tuione.
Israel ilishasema wazi kwamba haitaruhusu Iran iweke kambi karibu na mupaka yake,na iliwaambia wazi Urusi na Marekani kwamba haitavumilia Iran kuizunguka. Na ndio inachokifanya sasa.Kuwepo makachero wa ISRAEL Naomba Nikwambie Sio IRAN tuu Duniani Jamaa wamejaa
Ila Hoja Yangu Hapa Nikwamba Wao Wanasema IRAN Haitakiwi Kumiliki Miradi Yakinyuklia Ss inatakiwa Wairipue Wanangojea nn
Haya nakuhusiana na suala la ISRAEL Kudai iran Ina Tengeneza Nyuklia Boom Ni Kweli Kwa intelejensia yao Ina Maana Tayar Iran Kashakua Na Nyuklia Bom
Unahisi ISRAEL Ataweka Ulimi Puani Aingie Full Scale War Na Waajemi[emoji4]
Wayahudi Watapiga Iraq Watapiga Lebnon Watapiga Syria Ila Kupiga Ndani Ya Iran Hawatakaa Wadhubutu Maana Kitakacho Wakuta Hawatakaa Wasahau
Ndio Maana Obama Aliwakatalia Jamaa walipotaka uungaji wake mkono wakuishambulia Iran Nandio maana Pia Trump Anachemka
Kiufupi Watapiga Proxy Wa Iran Ila Hawawez Kuipiga IRAN Ila Nikukumbushe Hapa Yakwamba Proxy Wa IRAN Wanaipiga ISRAEL Ndani Yamipaka Yake Kabisaaa Tuliona Hizbullah Juzi 2 Hapa Tumeona Hamas Miaka Kadhaa
Ss ISRAEL Ili Aupushe Hawa Wanamgambo Kupiga Ndani ya Ardhi Yake Inatakiwa Ampige Anaewaunga Mkono Hawa Jamaa nanijambo ambalo ISAREL Hawez na Hana Uwezo Nalo
Nakuhusiana na hio ripoti ya Umoja wamataifa Sio kweli Mkuu kwahapa Umenipiga changa Kama Ipo Leta Niione Maana ripoti Za IAEA Zooote zimesema IRAN Imeheshm na inaheshmu Makubaliano na Haina Atomic Bomb
Swala la kuweka kambi unataka waeke kambi mara ngapi mkuuIsrael ilishasema wazi kwamba haitaruhusu Iran iweke kambi karibu na mupaka yake,na iliwaambia wazi Urusi na Marekani kwamba haitavumilia Iran kuizunguka. Na ndio inachokifanya sasa.
Je ni Nini Iran wanasubiri kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia wakati kila siku wanaimba death to Israel mpaka Bungeni?!
https://www.google.com/amp/s/www.al...-traces-iran-site-report-190909014817150.html
Iran hatofanikiwa kuweka Permanent military base hapo Syria au Iraq,huo ndo ukweli,take it or leave it.
Ushabiki Mbaya Sana Asee Kaweka Kambi Yake Under Hizbullah Pale Mpakani Kabisa Na TAIFA TEULE Ambapo Anawaona WANA WATAIFA TEULE WAKIENDA kujisaidia Seuze Huko Kwengine[emoji3][emoji3]Iran hatofanikiwa kuweka Permanent military base hapo Syria au Iraq,huo ndo ukweli,take it or leave it.
huo mpango wa Irani kujenga kambi za kuizunguka Israeli hautakaa utimie maana zitakuwa zinaharibiwa kila siku na irani itaendelea kupata hasara na hasara kibaoSwala la kuweka kambi unataka waeke kambi mara ngapi mkuu
Hizbullah ana fadhiliwa na nani ?![emoji23]
Hizbullah ni miongoni mwa waungaji mkono wakubwa wa waajemi na wanafadhiliwa na waajemi kifedha kiteknolojia kisilaha na kila kitu
Hamas hawa pia wanafadhiliwa kwa kiasi kikubwa sana na iran na qatar pia ila hawa hawajawa imara sana kama hizbullah sababu wamebanwa sana
Suala la kuifuta ISRAEL Sio Suala kama unafuta wino wa pensel kwa kifuti jamaa tuna anza kumuekea kambi kwanza barazani kwake halaf atakuja kujaa skumoja atakula kipigo heavy
Kama kweli jamaa anasema hawez vumilia kambi za kijeshi za IRAN Amalizane kwanza Na HIZBULLAH hapa naweza kuelewa analolisema
Maana hizbullah Ni Mtt Wa Iran Kabisaaaa Na Jeuri Moja wapo Ya IRAN kwa TAIFA TEULE Ni Pale Kwa HIZBULLAH Yaani Iran Anaelewa Kama TAIFA TEULE Likijitia Halina Akili Likaishambulia Iran Basi Atawakabidhi HIZBULLAH Halaf Matokeo Mtakuja Nayo Wenyewe
Nb:Kama Kweli ISRAEL Hawataki Zungukwa Na Kambi Zakijeshi Za IRAN Wapambane Na Kuiondoa HIZBULLAH
Well said mkuuNdugu yangu acha kuchekesha watu.
Ina maana unataka kuniambia ,hivyo vikambi vya wanamgambo wanao ungwa mkono na Iran, ambavyo Israel amekuwa akivishambulia kila siku ni hatari kuliko maghara yaliyo jaa makombora ya Masafa marefu ambayo yako ndani ya Iran?
Au hivyo vikambi ni hatari kwa Israel kuliko mpango wenye utata wa nukilia?.
Wewe kubari ukatae Israel akitaka kufanya jambo ni lazima aangalie lina madhara gani kwa nchi yake,sio kwamba Israel haijui ya kwamba makombora yaliyoko ndani ya Iran au mupango wa nyukilia ni hatari kwa usalama wake ,lakini anashindwa cha kufanya kwa sababu ana jua akishambulia ndani ya mipaka ya Iran kutaibuka vita kamili ambavyo vita sababisha tetemeko la aridhi katika eneo lote mashariki ya kati.
Netanyau Alisha itisha vikao vingi sana vya kujadili jinsi ya kuishambulia vinu vya kinyukilia vya Irani ,lakini huwa anakatariwa na majenelari wake .
Mwaka 2014 ripoti za siri zilivuja juu ya kikao kilicho fanyika mwaka 2011 kati ya baraza mawaziri wa Israel na viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo ,kilicho kuwa kiki jadiri iwapo waishambulie Iran kijeshi lakini makamanda wa jeshi walimuonya netanyau ya kwamba yatakuja kuwa majuto makubwa sana kwa Israel iwapo itafanya hivyo, hata marekani hata marekani chini ya Obama ilisha muonya sana netanyau juu ya kukurupuka kuishambulia Iran.
Kwa hiyo usitake kutuaminisha ya kwamba Israel haiogopi Iran.
Kwanza Pale Lebanon Tayari Iran Anakambi Zake Zakutosha Tu Tena pale ndio pamekaa kimkakati zaidi Kuliko Iraq Na Syria Syria Kama Tungepapata Golan Ingekua Mali Sanahuo mpango wa Irani kujenga kambi za kuizunguka Israeli hautakaa utimie maana zitakuwa zinaharibiwa kila siku na irani itaendelea kupata hasara na hasara kibao
Wape mda mkuuMbona picha hawaweki????
hakuna kitu mkuu hawa jamaa yaani kama kweli saa hiohio dunia ingesikiaWape mda mkuu
Iran hana base Lebanon (kama ipo Leta ushahidi), na hatoweka hiyo kambi hapo Syria ndio maana alivyoona Israel inaweza piga hadi ndani ya Syria hata baada ya Syria kupewa S-300 akahamishia mipango yake Iraq. Israel ikamfata hukohuko Iraq kulipua kambi,silaha. Iran anataka atengeneze route ambayo ataitumia kusambaza silaha kwa wanamgambo lakini hilo sioni likifanikiwa hasa kipindi hiki ambapo imebanwa na vikwazo. Kwa sasa inahangaika kunusuru uchumi wake unaoangamia kila kukicha.Swala la kuweka kambi unataka waeke kambi mara ngapi mkuu
Hizbullah ana fadhiliwa na nani ?![emoji23]
Hizbullah ni miongoni mwa waungaji mkono wakubwa wa waajemi na wanafadhiliwa na waajemi kifedha kiteknolojia kisilaha na kila kitu
Hamas hawa pia wanafadhiliwa kwa kiasi kikubwa sana na iran na qatar pia ila hawa hawajawa imara sana kama hizbullah sababu wamebanwa sana
Suala la kuifuta ISRAEL Sio Suala kama unafuta wino wa pensel kwa kifuti jamaa tuna anza kumuekea kambi kwanza barazani kwake halaf atakuja kujaa skumoja atakula kipigo heavy
Kama kweli jamaa anasema hawez vumilia kambi za kijeshi za IRAN Amalizane kwanza Na HIZBULLAH hapa naweza kuelewa analolisema
Maana hizbullah Ni Mtt Wa Iran Kabisaaaa Na Jeuri Moja wapo Ya IRAN kwa TAIFA TEULE Ni Pale Kwa HIZBULLAH Yaani Iran Anaelewa Kama TAIFA TEULE Likijitia Halina Akili Likaishambulia Iran Basi Atawakabidhi HIZBULLAH Halaf Matokeo Mtakuja Nayo Wenyewe
Nb:Kama Kweli ISRAEL Hawataki Zungukwa Na Kambi Zakijeshi Za IRAN Wapambane Na Kuiondoa HIZBULLAH
Kuhusiana na suala la kushindwa kufanya yake iran eti sababu ni vikwazo unapoteza muda wako mkuuIran hana base Lebanon (kama ipo Leta ushahidi), na hatoweka hiyo kambi hapo Syria ndio maana alivyoona Israel inaweza piga hadi ndani ya Syria hata baada ya Syria kupewa S-300 akahamishia mipango yake Iraq. Israel ikamfata hukohuko Iraq kulipua kambi,silaha. Iran anataka atengeneze route ambayo ataitumia kusambaza silaha kwa wanamgambo lakini hilo sioni likifanikiwa hasa kipindi hiki ambapo imebanwa na vikwazo. Kwa sasa inahangaika kunusuru uchumi wake unaoangamia kila kukicha.
Hakuna atakaekuja kuifuta Israel hapo middle East na hatotokea. Kama unabisha angalia ramani ya Israel ilivyokua mwaka 1948 halafu angalia na jinsi ilivyo leo jibu utakua umelipata.
Ina maana Wa US Waongo Maana Walisema Kama Walitungua Drone Ya Waajemi Ila Mpaka Leo Hatujaona Lolote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hizbullah hawajahi nawala hawatawahi danganya qakisema ujue walifanya ama watafanyahakuna kitu mkuu hawa jamaa yaani kama kweli saa hiohio dunia ingesikia
Iran hana base Lebanon (kama ipo Leta ushahidi), na hatoweka hiyo kambi hapo Syria ndio maana alivyoona Israel inaweza piga hadi ndani ya Syria hata baada ya Syria kupewa S-300 akahamishia mipango yake Iraq. Israel ikamfata hukohuko Iraq kulipua kambi,silaha. Iran anataka atengeneze route ambayo ataitumia kusambaza silaha kwa wanamgambo lakini hilo sioni likifanikiwa hasa kipindi hiki ambapo imebanwa na vikwazo. Kwa sasa inahangaika kunusuru uchumi wake unaoangamia kila kukicha.
Hakuna atakaekuja kuifuta Israel hapo middle East na hatotokea. Kama unabisha angalia ramani ya Israel ilivyokua mwaka 1948 halafu angalia na jinsi ilivyo leo jibu utakua umelipata.