Rafiki Wakweli
Member
- Jul 31, 2015
- 11
- 2
Kuna kambi imewekwa na vijana wa CCM katika hotel inajulikana kama Rombo Plaza, inayomilikiwa na ndg Wiliam Kiwango, eneo la Shimbi katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.
Leo ni siku ya tatu vijana hao wakiwa wamepiga kambi hapo na huwa wanafundishwa mazoezi mbalimbali ikiwemo kipiga push-up, kukimbia mchakamchaka kila asubuhi kuzunguka maeneo mbalimbali ya mtaa huu wakiwa wamevalia sare zao za CCM.
Vijana hao huwa hawaendi nyumbani, wanashinda na kukesha kambini hapo.
Simu yangu haina uwezo wa kuaplod picha, ningezitupia hapa.