aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,672
- 3,737
Kuna mdogo wangu amepata nafasi ya kujiunga na JKT amemaliza shahada mwaka Jana, sasa aliniuliza eti kambi ipi inamazoezi magumu.
Mimi sijapitia jeshi ila kwa kisikia kupitia marafiki wangu wengi wanasema JKT Mlale Songea, yeye amepangiwa Dodoma Makutupola kwa anayejua anihabarishe hebu