Kamati za Bunge

Majina ya wabunge walioko kwenye kamati za Bunge na Kamati zao.
 

Attachments

  • 12508831_1069271586466746_4740862254867466537_n.jpg
    53.2 KB · Views: 30
  • 12508810_1069272713133300_6630043708632312706_n.jpg
    48.8 KB · Views: 32
  • 12573732_1069272499799988_8729503475515299689_n.jpg
    60.4 KB · Views: 34
  • 12552629_1069272366466668_2871472609963683802_n.jpg
    50.9 KB · Views: 41
  • 1937223_1069272869799951_4273730347868791171_n.jpg
    52.4 KB · Views: 32
Watu wengi hawajui umuhimu wa kamati ya maendeleo ya jamii! Hii ndio kamati ambayo mwenye akili yeyote anapaswa kuililia. Maana hakuna mipango,fedha yeyote inayolenga maendeleo ambayo haitatizamwa na kamati hii. Ni sawa katika halmashauri zetu unyeti wa idara ya Maendeleo ya jamii na Mipango na uchumi. Hizi ndio moyp wa halmashauri. Hongera Zitto,kwa akili yako na weledi utatuonyesha siasa ya weledi na ufundi mkubwa kama ulivyozoea kufanya. Najua unajua na unajua kuwa unajua.
 
Wakuu mwenye updates yeyote juu ya kamati za bunge letu asisite kutupa
Naanza na hii

Zitto Zubeir Kabwe Kamati ya maendeleo ya jamii

Ambayo vijana michezo afya ndo miongoni mwa majukumu yake

Joseph Haule kamati ya PIC pamoja dada Esther Matiko pamoja na MH Songoro.
 
Mkuu hata kama unamchukia Zitto tumia lugha za kiungwana.
Mkuu mie simchukii zitto hata kwa bahati mbaya!! Zitto ndio kiigizo changu ktk siasa za TZ na huo msemo ni wa kawaida saaana kama we ni msomaji wa vitabu vya zaman
 
Acha unafiki
 
Peter sserukamba
Na rafael chegeni ndo wanaiongoza kamati ya zitto kabwe
 
Mkuu hata kama unamchukia Zitto tumia lugha za kiungwana.
Mkuu mie simchukii zitto hata kwa bahati mbaya!! Zitto ndio kiigizo changu ktk siasa za TZ na huo msemo ni wa kawaida saaana kama we ni msomaji wa vitabu vya zaman
 
Namtakia heri. Naamini nyota yake itang'aa hata huko
 
Mwanasiasa kazi yake ni hiyo!
Kama angelalamika kwa kupewa majukumu basi alipaswa aachane na siasa kabisa!
Kama kuna mwanajeshi anakataa kwenda vitani eti kwa kuwa vita ni hatari, anapaswa kuvuliwa gwanda!
Yes ame-appreciate kuwa kazi ni ngumu na muhimu, lkn ukiwa politician kazi ngumu ndio inakupa credit zaidi! Hii ndio sehemu ambayo ata shine kama ataipatia au atajiumiza kisiasa kama atapotea!
By the way, kwanini unashangaa zitto kutaka majukumu mazito, mbona chadema mlikuwa mnataka kwenda ikulu, mlikuwa mnaona ni kazi rahisi? Au na nyinyi kulikuwa na kitu anatafuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…