Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hoja anayo HamzaHuna hoja.
Hoja anayo HamzaHuna hoja.
Hoja anayo Hamza
Hana.Hoja anayo Hamza
Corona kwani nayo ipo kwenye kundi la magonjwa mtambuka?Hana.
Haipo.Corona kwani nayo ipo kwenye kundi la magonjwa mtambuka?
Bila hivyo leo wangekuwa washaungana na upc na kanuWajinga wanategemea dola kubaki madarakani.
Hivi aliyeua biashara ya Mchele Kyela ni Chadema ?Ndugu yangu nakushauri ufanye kazi ya kukoboa mpunga hapo kalumbulu, ukiona ni shida nenda kavue samaki aina ya 'ngorokoro' mkiendelea kujitia wanaharakati mtaumia, mlushapoteza uhalali wa kisiasa 2015. Kwa sasa mnaonekana wahuni na wajanja wajanja.
Siasa ni ajenda, kwa sasa hamna ajenda yenye mashiko, ile ajenda yenu ya kupiga ufisadi na kukubaliwa sana na watanzania mlishaiua kwa kumeza matapishi yenu wenyewe. Tundu Lissu na Lema wameshaona hili na wamekimbia, acheni usanii mtapigwa mtachakaa.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app