Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

Nyie pangeni mpangue mpaka mbowe apigwe hukumu, sasa vema muandae na hela za kusaidia familia zenu, ili pale yatakapowakuta ya huo mkakati wenu.
Basi viongozi wenu uraiani wasianze kutusumbua kutembeza mabakuli ya kuombea misaada!

Kawaulize wake za wale makomandoo hali inayowapata kwa sasa!

Hata uongozi hauwataji tena waume zao, zaidi ya kumsikia Mbowe tu ndie anayetetewa.

Mmechoka ugali wa uraiani sasa mnatafuta ugali wa jela na ugali wa wagonjwa.

Mark my words!
Utopolo
 
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Hongereni sana. Kazi ya kumng'oa mkoloni mweusi ccm ni ngumu sana lakini tutashinda tu.
 
Nyie pangeni mpangue mpaka mbowe apigwe hukumu, sasa vema muandae na hela za kusaidia familia zenu, ili pale yatakapowakuta ya huo mkakati wenu.
Basi viongozi wenu uraiani wasianze kutusumbua kutembeza mabakuli ya kuombea misaada!

Kawaulize wake za wale makomandoo hali inayowapata kwa sasa!

Hata uongozi hauwataji tena waume zao, zaidi ya kumsikia Mbowe tu ndie anayetetewa.

Mmechoka ugali wa uraiani sasa mnatafuta ugali wa jela na ugali wa wagonjwa.

Mark my words!
Mawazo ya mtu anayeishi akiwa tayar ameshafariki
 
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia CCM Kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Safi makamanda wetu huko kusini, tunasonga mbele mpaka haki na utu virudishwe nchi hii.
 
HAhahahaaa wazee wa kujifariji sawa erythrocyte msalimie sana LUSAJO ALIPIPI KASYUPA
 
Nyie pangeni mpangue mpaka mbowe apigwe hukumu, sasa vema muandae na hela za kusaidia familia zenu, ili pale yatakapowakuta ya huo mkakati wenu.

Basi viongozi wenu uraiani wasianze kutusumbua kutembeza mabakuli ya kuombea misaada!

Kawaulize wake za wale makomandoo hali inayowapata kwa sasa!

Hata uongozi hauwataji tena waume zao, zaidi ya kumsikia Mbowe tu ndie anayetetewa.

Mmechoka ugali wa uraiani sasa mnatafuta ugali wa jela na ugali wa wagonjwa.

Mark my words!
MaCCM wote akili zenu hazina akili.
Roho mbaya na za kinyama, unafurahia kabisa familia za wasio na hatia kuumizwa,
ndio maana mimi nakubaliana na wanaotuita waafrika Manyani. Sisi ni wanyama kabisa.
 
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia CCM Kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Vipi mnapanga ugaidi? Lakini Gaidi Kiongozi bado yuko ndani au mnataka mkamtoe kwa njia za kigaidi?
 
Siku hizi bila vitisho hamtaishi?Wale vija wa uvccm wenye hoja walitokomea wapi jamani,siku hizi mwendo wa vitisho hakuna lolote la maana yaani ka.
Nyie pangeni mpangue mpaka mbowe apigwe hukumu, sasa vema muandae na hela za kusaidia familia zenu, ili pale yatakapowakuta ya huo mkakati wenu.

Basi viongozi wenu uraiani wasianze kutusumbua kutembeza mabakuli ya kuombea misaada!

Kawaulize wake za wale makomandoo hali inayowapata kwa sasa!

Hata uongozi hauwataji tena waume zao, zaidi ya kumsikia Mbowe tu ndie anayetetewa.

Mmechoka ugali wa uraiani sasa mnatafuta ugali wa jela na ugali wa wagonjwa.

Mark my words!
 
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia CCM Kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Maazimio mazito, khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, my foot.
 
Back
Top Bottom