Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,107
2,000
Ndugu yangu nakushauri ufanye kazi ya kukoboa mpunga hapo kalumbulu, ukiona ni shida nenda kavue samaki aina ya 'ngorokoro' mkiendelea kujitia wanaharakati mtaumia, mlushapoteza uhalali wa kisiasa 2015. Kwa sasa mnaonekana wahuni na wajanja wajanja.

Siasa ni ajenda, kwa sasa hamna ajenda yenye mashiko, ile ajenda yenu ya kupiga ufisadi na kukubaliwa sana na watanzania mlishaiua kwa kumeza matapishi yenu wenyewe. Tundu Lissu na Lema wameshaona hili na wamekimbia, acheni usanii mtapigwa mtachakaa.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,692

Hivi aliyeua biashara ya Mchele Kyela ni Chadema ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom