Kamati ya ufundi

Kamati ya ufundi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10001384_507689199337175_3453084568579263787_n.jpg
 
Ooyoo hii ni kebeneti ya zile aanzii za utumwa wa mababu zetu na hapo itakuwa wana jadili bajeti yao ni vipi kupandisha ushuru kwa waarabu kati ya ushanga na haluwa na tendee ili wapewe hayo meno ya tembo na watumwa
 
ebana kama umelikoroga kwa hao jamaa wala hutobaki salama. yaelekea hao ndio wamiliki wa NGENDE
 
Ebana eee !!! hako cha kaikati kulia ukikutana nacho usiku utaombea ardhi itoboke
 
Back
Top Bottom