Kamati ya mwakyembe iliyomtoa Lowasa madarakani

Kamati ya mwakyembe iliyomtoa Lowasa madarakani

Mdavire

Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Wakuu hivi ile kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowasa ilikuwa inaitwaje nanaweza kuipata kwenye site gan?Msaada naomba.
 
Wakuu hivi ile kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowasa ilikuwa inaitwaje nanaweza kuipata kwenye site gan?Msaada naomba.

Mkuu, ni muhimu kusema kwanini unaihitaji; usijeeleweka kuwa unataka kuiandalia safari ya Mabwepande!
 
Huo mchezo mchafu wa 6 na rost tam na lowa baadae na njaa ya kaya hatutaki kuusikia tena.
 
Back
Top Bottom