Kamati ya maadili ya bunge kujadili kitendo cha Clouds Tv kumhoji shoga

NAAMINI ZAMARADI atajitetea vzr tu alimradi wampe nafasi, kibaya nanachoona ni kumkaribisha akiwa katika yale mavazi hii ndiyo inaonekana kama promotion
 
wakikubari wa kikataa Mashoga wapo na watendelea kuwepo tangu Enzi ya Nabii NUUHU
 
Watu wengi tunasoma vichwa vya habari na kujifanya tumesoma habari yote. Ingawa napingana na USHOGA ila sikuona mapungufu ya hicho kipindi. It was an eye opener kwetu wazazi. Kuna wakati hata Mtangazaji alijihisi vibaya na hata huyo shoga hakuwa anasifia ushoga bali alikuwa anatoa tahadhari. Kama utakumbuka kuna wakati aliulizwa kama angependa huyo mtoto atakayemzaa awe shoga alikataa kata kata.

exactly kulikuwa na mafundisho mazuri, na mzazi ndie anachangia kwa kiasi kikubwa kuaribika kwa mtoto, wanaopinga itakuwa ndio wateja wao wazuri
 
TCRA hawawezi kufanya lolote..hii ndio TV pendwa ya Mkulu,mkuu wa Mkoa Dsm na Dc wa Kinondoni ilipo Radio.
Ndio Tv ambayo "mwenye nchi" alithibisha kuwa huitazama kwa sana,pengine na hicho kipindi cha Kaoge alikiona.Sasa wataweza kuifungia Tv pendwa ya boss??
 
Tatizo la hii media house wamekimbia mno hadi wamepitiliza kwao kutokana na sifa za uwongo kutoka kwa 'mtukufu' wa magogoni.
 
Kukataa ushoga ni kuua Demokrasia, ushoga ni ukomavu wa kidemokrasia wa nchi yoyote ya kidemokrasia.
 
Kwani hiyo ni kamati ya maadili ya wabunge au ni maadili ya Tanzania? na kama huwa kuna maadili ya Tanzania, mbona sijawahi kusikia hiyo kamati wakiogelea maadili ya wazinzi, wabakaji, wafitini, wanafiki etc etc... Kwani haya maadili ya Tanzania huwa ni yapi?
 
''Kamati ya maadili ya wabunge"

Ulitaka kumaanisha hivyo au ulitaka kumaanisha hivi..

''Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge"

Na majukumu ya hizo kamati unayajua??
Umesikia wapi??
swahili times baby, don't you see the attachment?
 
Kuna vitu ambavyo hatupendi kuviona wala kuvisikia lakini vipo na tunaishi navyo. Mashoga waliopo Tanzania sasa inawezekana ni vitukuu au kizazi cha kumi cha mashoga wa awali hivyo kutuongelea ushoga hakuna maana kwamba haupo. Tunauongelea namna gani na vipi hilo ndilo swali lakini binafsi japo inaniumiza ni kuwa kuuongelea ushoga kwa uhalisia wake ndio njia pekee iliyo sahihi na hakuna uhalisia kama kuwa 'live'!
Siangaliagi wala kusikiliza clouds lakini jana nilivyoangalia 'ndondo cup' live kuna kitu nimejifunza juu ya uhalisia wa Watanzania.
 
Kwani hiyo ni kamati ya maadili ya wabunge au ni maadili ya Tanzania? na kama huwa kuna maadili ya Tanzania, mbona sijawahi kusikia hiyo kamati wakiogelea maadili ya wazinzi, wabakaji, wafitini, wanafiki etc etc... Kwani haya maadili ya Tanzania huwa ni yapi?
....kamati kumjadili yule mkuu wa mkoa (sijui Pemba) aliyembaka mtoto wa mkewe!
Hapo Mkuu KayScarpetta ndio ujue safari yetu ni ndefu kiasi gani kuelekea ujenzi wa viwanda!
 
exactly kulikuwa na mafundisho mazuri, na mzazi ndie anachangia kwa kiasi kikubwa kuaribika kwa mtoto, wanaopinga itakuwa ndio wateja wao wazuri
Hivi ulimuona huyo Kaoge? Hivi mwanaume rijali unaweza kweli kum--- hata kama ni mpenzi wa hayo mambo? Nadhani wewe ni KE, hivi utajisikiaje ukiwa na mtoto kama kaoge si utampiga risasi afe kama baba yake marvin gaye alivyofanya! It is paining. Hivi huyo Kaoge si ni teja tu sijui. Lakini hiyo clip ilikuwa ni funzo kwetu wazazi na si busara kumwonea mtangazaji au Clouds TV. Kuna swali hakuuliza la msingi, jinsi alivyoanza
 
Sasa ishu ni nini, kwamba hao watu hawapo katika jamii au ishu ni kipindi kwenda hewan?

Si nimesikia mhimbili mpaka wanakitengo cha hao watu

Wanakimbia kivuli.
Lilipotokea swala la wanachuo wa udom ila hili la KAOGE ndo hot cake mjengon
 
Hivi hiyo nikazi ua Bunge? au Taasisi Na vyombo zinazodhibiti ubora Na uendeshaji wa vyombo vya habari?

Nani kapeleka hoja hiyo bungeni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom