Kamati ya maadili ya bunge kujadili kitendo cha Clouds Tv kumhoji shoga

Shoga si kajitakia kutiliwa mkojo mwenyew na mwache wamfilage pa kinyelo
Hapana kiongozi hayo sio mawazo mema ya kutaka yaendelee ktk jamii yetu ipo njia ya kufanya ni vema ikaendewa kuhakisha jamii ya mashoga wanaachana na tabia hiyo mbaya yenye madhara duniani na akhera na sio suala kukasirika na kusema basi waachwe tu eti kwakuwa wamejitakia
 
Baba ***** si alishasema huwa anaangalia hiyo tv...sasa ifungiwe ili nini wakat yeye ndo stage aliyopo kifikra,na hakuna mwenye uwezo hata wakuonya maana ndo pumziko la mkuu wa kaya...
Hahaha duh kiongozi umetisha huwaga husahau haya huogopi makosa ya kimtandao
Nice
 
Hivi mpaka Leo haijafungiwa?nasikia Mkuu wa kaya anapenda kuitazama,labda ni ******ber
 
Nyumba ni mwanaume, mwanaume wa ukweli akitoka ndani wanaobaki humbwela mbwela tuu kumtafuta mwanaume anafanya nini huko aliko enda.
 
RC Makonda alipiga simu kulizungumzia swala hilo. Hivyo ilitosha kuona serikali ikilishughulikia.
Wabunge wa ccm wanaiamini serikali yao kupitia RC Dar inaweza kulimaliza swala hilo ikishirikiana na TCRA. Wao walikuwa na muda wa kuhakikisha bajeti na sheria mbalimbali zinashughulikiwa na kupitishwa ili zikatumike kuhudumia wananchi.
Wabunge waliokuwa hawana kazi ni wa chadema kwani wao walikuwa wanazurura huko Dodoma. Hao ndio walikuwa na nafasi nzuri ya kuliongelea hilo huko vijiweni. Kwa kuwa vyama vyao vinanasaba na vyama vinavyotetea ushoga wamefumba macho. Wewe pekee kwenye chadema ndio unamtazamo tofauti na ushoga

Makonda alipiga cm kupongeza kipind na si kukosoa kipindi kile kwamba hakifai . Yaan kipind kiendelee kuelimisha ubaya wa ushoga na kuponda ushoga. Sisi tunapinga kipindi kile na tv husika ifungiwe coz wamekosea! Usipotoshe alichokifanya!!

Lakn lin ccm wakakosoa tv yao??
 
Sasa ishu ni nini, kwamba hao watu hawapo katika jamii au ishu ni kipindi kwenda hewan?

Si nimesikia mhimbili mpaka wanakitengo cha hao watu

Wanakimbia kivuli.
Hata kama wapo lakini kitendo hicho siyo cha maadili ya Tanzania na kwa kufanya hivyo ni kuitangaza hiyo biashara wala si kitendo cha kuunga mkono hata kidogo eti kwa sababu kuna majambazi na wala vitendo hivi vyote vinatakiwa vikemewe kwa ujumla wake
 
Af hii kitu mbona sio mara ya kwanza kufanya na Clouds?!

Kwenye kipindi cha Njiapanda miaka ya nyuma walishawahi kuwahoji mashogo na machangudoa lakini hamna aliyepiga kelele kipindi hiko.
 
Hata kama wapo lakini kitendo hicho siyo cha maadili ya Tanzania na kwa kufanya hivyo ni kuitangaza hiyo biashara wala si kitendo cha kuunga mkono hata kidogo eti kwa sababu kuna majambazi na wala vitendo hivi vyote vinatakiwa vikemewe kwa ujumla wake
Kwahiyo walikuwa wanapromote au wanaonyesha hali halisi?
 
Makonda alipiga cm kupongeza kipind na si kukosoa kipindi kile kwamba hakifai . Yaan kipind kiendelee kuelimisha ubaya wa ushoga na kuponda ushoga. Sisi tunapinga kipindi kile na tv husika ifungiwe coz wamekosea! Usipotoshe alichokifanya!!

Lakn lin ccm wakakosoa tv yao??
Kama kinaelimisha juu ya ubaya wa ushoga tatizo la kipindi ni nini? Kwa hoyo ulitawa wasitoe hiyo elimu kwani inahatarisha chadema kukosa wanachama?
 
Kwahiyo walikuwa wanapromote au wanaonyesha hali halisi?
Unajua unapomuelezea mtu kwamba anafanya jambo fulani ambalo siyo la kimaadili linasababisha kushawishi mtu mwingine kujaribu au kufanya kabisa kwa kuwa atoana ni la kawaida fikiria una kijana wako halafu anashudua vijana wenzie wanavuta bangi halafu hakuna hatua zinazochukuliwa.

Unatarajia nn
 
Nadhani Serikali ndio ya kuchukua hatua walichofanya hao ni ku-create awareness tu kwamba hao watu wapo, na maisha gani wanaishi

Mi nadhani hicho kipindi wangekiangalia kwa jicho la kujifunza zaidi ni mbinu gani watumie kuwakabiri na si kama sahivi wanavyotaka kutuaminisha kwamba walikuwa wanapromote ushoga...kufanya hivyo ni kulikimbia tatizo kama mnavyosema japo kwangu mi sina tatizo na hao watu...
 
Kamati ya bunge ya maadili itajadili kitendo cha Clouds Tv kurusha mahojiano na Godfrey Majunga ''Kaoge'', na itapeleka uamuzi wake TCRA.

==========

Kamati ya maadili ya wa bunge itajadili kitendo cha Clouds Tv kurusha mahojiano ya Godfrey Majunga maarufu kama Kaoge na itapeleka uamuzi wake TCRA
hii serikali yetu ni shida tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom