Kamati ya maadili ya bunge kujadili kitendo cha Clouds Tv kumhoji shoga

View attachment 361460 Kamati ya maadili ya wa bunge itajadili kitendo cha Clouds Tv kurusha mahojiano ya Godfrey Majunga maarufu kama Kaoge na itapeleka uamuzi wake TCRA
HAKUNA KULEA UJINGA HAPA. HATUTAKI USHOGA, HATUA ZICHUKULIWE TABIA ZISIENDELEE. WEAK MEN WEAK MEN, WANAAMBUKIZA WENGINE TABIA YA AJABU. VITU VYA KUJILAZIMISHA, TAMAA ZISIZO NA MIPAKA. HAKUNA KULEA WATU KAMA HAO. WANYAMA WANAJIELEWA KULIKO WANADAMU! KUTETEA NI KAMA KUSAPOTI UDHAIFU WA AJABU WA WANAUME, KUWEPO NI TATIZO YAANI TUSIJARIBU ETI KUWAPA NAFASI KUWASIKILIZA WANACHAFUA JAMII. .... NI UDHAIFU AU UPUNGUFU KWENYE AKILI.....
MWANAMKE NI MWANAMKE NA MWANAUME ABAKI MWANAUME.

NINAPENDA KUTOWAPENDA KABISA WATU WA NAMNA HII,AIBU YA NAMNA GANI HII, SIJUI ....AAAAAAA
HEBU JIONENI KINYAA WENYEWE!!!!
 
Nimeshangazwa kwa bunge kumalizika bila kauli ya wabunge wa Ccm kuwakemea clouds TV kupigia debe ushoga!!

Mtoto wa kike analindwa,wa kiume je?
Wabunge kweli wameshindwa hata kuomba kauli ya serikali?

Kwa nini clouds TV wasifungiwe? Nani anawalinda?
 
Au kuna taasisi ya kishoga inaifadhili clouds kimyakimya? Maana hii si Mara yao ya kwanza kuwakusanya mashoga na kuwapa promo.
Kila mtu anajua ushoga ni kosa la jinai,clouds wana celebrate jinai kuoitia leseni inayowataka wasiharibu maadili
 
Inasemekana kuna taasisi za mashoga za ulaya na marekani zinagawa hela kwa ajili ya kufadhili mambo ya mashoga
 
Mbona nmesikia kua wabunge wameomba hilo swala liongelewe ikiwezekana sheria kali zitumike kwa clouds ili iwe fundisho
 
Nimeshangazwa kwa bunge kumalizika bila kauli ya wabunge wa Ccm kuwakemea clouds TV kupigia debe ushoga!!

Mtoto wa kike analindwa,wa kiume je?
Wabunge kweli wameshindwa hata kuomba kauli ya serikali?

Kwa nini clouds TV wasifungiwe? Nani anawalinda?
Ulimsikia Amina Mollel?
 
Nimeshangazwa kwa bunge kumalizika bila kauli ya wabunge wa Ccm kuwakemea clouds TV kupigia debe ushoga!!

Mtoto wa kike analindwa,wa kiume je?
Wabunge kweli wameshindwa hata kuomba kauli ya serikali?

Kwa nini clouds TV wasifungiwe? Nani anawalinda?
Hivi ni lini uliwahi kuona mbunge wa ccm anapigania maslahi ya taifa?
 
Baba jesca si alishasema huwa anaangalia hiyo tv...sasa ifungiwe ili nini wakat yeye ndo stage aliyopo kifikra,na hakuna mwenye uwezo hata wakuonya maana ndo pumziko la mkuu wa kaya...
 
watu wanao potosha maadili kwa umma ni WAPIGWE FAIN MARADUFU hawatarudia tena!
 
Hivi ulimuona huyo Kaoge? Hivi mwanaume rijali unaweza kweli kum--- hata kama ni mpenzi wa hayo mambo? Nadhani wewe ni KE, hivi utajisikiaje ukiwa na mtoto kama kaoge si utampiga risasi afe kama baba yake marvin gaye alivyofanya! It is paining. Hivi huyo Kaoge si ni teja tu sijui. Lakini hiyo clip ilikuwa ni funzo kwetu wazazi na si busara kumwonea mtangazaji au Clouds TV. Kuna swali hakuuliza la msingi, jinsi alivyoanza

alieleza kila kitu, hadi alivyoanza, na alisema wazazi wake wamechangia kwa kiasi kikubwa yeye kuwa vile, mwanaume wa kwanza kumuingilia alikuwa mwanafunzi wenzake,wakiwa darasa la saba,hadi mwalimu wa shule aliyokuwa anasoma ilishiriki kuwa anamuingilia
 
VYOVYOTE VILE ITAKAVYOKUWA, MAMBO YANAENDA TARATIBU JAPO KWA UHAKIKA KAMA ILIVYOTABILIWA! NA HATA HITIMISHO LAKE LITAKAPOFIKA, KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA JAMBO LITALETWA HUKUMUNI!!!

WARUMI 14:11
Maana Maandiko yanasema: "Kama niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.


WARUMI 1:26-27

26 Kwa hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile. 27 Nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.


In English:

ROMANS 1:26-27

For this reason God gave them over to degrading passions; for their women exchanged the natural function for that which is unnatural, 27 and in the same way also the men abandoned the natural function of the woman and burned in their desire toward one another, men with men committing indecent acts and receiving in their own persons the due penalty of their error

 
Au kuna taasisi ya kishoga inaifadhili clouds kimyakimya? Maana hii si Mara yao ya kwanza kuwakusanya mashoga na kuwapa promo.
Kila mtu anajua ushoga ni kosa la jinai,clouds wana celebrate jinai kuoitia leseni inayowataka wasiharibu maadili
RC Makonda alipiga simu kulizungumzia swala hilo. Hivyo ilitosha kuona serikali ikilishughulikia.
Wabunge wa ccm wanaiamini serikali yao kupitia RC Dar inaweza kulimaliza swala hilo ikishirikiana na TCRA. Wao walikuwa na muda wa kuhakikisha bajeti na sheria mbalimbali zinashughulikiwa na kupitishwa ili zikatumike kuhudumia wananchi.
Wabunge waliokuwa hawana kazi ni wa chadema kwani wao walikuwa wanazurura huko Dodoma. Hao ndio walikuwa na nafasi nzuri ya kuliongelea hilo huko vijiweni. Kwa kuwa vyama vyao vinanasaba na vyama vinavyotetea ushoga wamefumba macho. Wewe pekee kwenye chadema ndio unamtazamo tofauti na ushoga
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom