Kamati ya Maadili CCM yakwama kutoa uamuzi

Kamati ya Maadili CCM yakwama kutoa uamuzi

Ndani ya hicho chama simwoni mtu yoyote anayeweza ku-disclipe mamvi, huyu ameisha jibinafsishia chama na kipo mfukoni mwake, kinachofanyika ni hofu tu ya baadhi ya vigogo wakijua siku akichukua nchi huyu Masai atawalipizia kisasi, kwa jinsi ambavyo Watanzania tulivyo wasahaulifu, nina mashaka sana kama Mmonduri huyu hata kua Ikulu next year, ni suala la kusubiri! Nina tazama Bungeni, siku akisema kitu tu, wabunge robo 3 toka ccm humshangilia, hivi hiyo inaonesha nini kama sio mahaba kwake, siku ile alipomnywesha pilipili mwenyekiti wake pale Dodoma juu ya tuhuma za Richmond, hadi wajumbe wa magambas inaonekana walikua upande wake, namwone sana huruma nepi Nnauye kwenye hili!
CCM ni Chama Cha Makahaba!! money talks!! Makahaba haya yanaweza kulala na Membe Asubuhi, Ngeleja mchana na hata na yule Zamadamu wahasira chap chap lakini wameshaolewa na MAMVI aka EL.!!!
 
CCM ni Chama cha Kidemokrasia, watayamaliza kwa Busara hakutakuwa na Ngumi wala watu kuporwa Laptop na kUSHUSHIWA vitofa vya Kichwa.Mbowe ana mzidi Mwenyekiti wetu vitu vitatu.

1) Makengeza
2)Uwezo wa Kusugua Santuri kwenye kumbi ya Muziki.
3) Uongo wa Kipropaganda e.g

Chadema yaibuka Kidedea kwa kujizolea Ushindi wa Kishindo wa Kata TATU huku CCM ikigaragazwa VIBAYA SANA kwa kuambulia Viti Ishirini na Nne tu katika Uchaguzi wa Madiwani hivi karibuni. Source Gazeti la Mbowe Tanzania Daima.

Vitofa unavijua wewe? Angalia hiyo picha ujue wataalam wa vitofa
 

Attachments

  • 1392393315052.jpg
    1392393315052.jpg
    35.5 KB · Views: 153
Katika historia ya ccm, ni watu wawili tu walioweza kufanya maamuzi magumu. J.K Nyerere na E.M Sokoine. Wengine wote waliobaki ni lamba lamba tu.
 
CCM ni Chama Cha Makahaba!! money talks!! Makahaba haya yanaweza kulala na Membe Asubuhi, Ngeleja mchana na hata na yule Zamadamu wahasira chap chap lakini wameshaolewa na MAMVI aka EL.!!!

Yeah. Chama cha Mataulo. Baada ya ukahaba wao wote wanatumia taulo hilo hilo moja. Linanuka kutoka juu hadi chini. Hakuna upande uliomsafi. Si chama wala serikali yake
 
Kamati ya Maadili ya CCM iliyokutana leo kuwahoji wanachama kadhaa wanaoonekana kama 'waleta fujo' chamani imekwama kutoa uamuzi juu ya jambo hilo leo.Chanzo cha kuaminika kutoka Kikaoni humo kinadai kuwa uamuzi umeshindikana kutokana na mambo mawili.Kwanza, waliohojiwa wote walitumia muda mwingi kulalamika,kutupiana lawama na kuzalisha tuhuma mpya ambazo Kamati inapaswa kujiridhisha nazo.

Chanzo husika kinaongeza kuwa sababu nyingine ni kuwa Mh.Benard Camilius Membe hakuwepo katika mahojiano hayo ambayo angepaswa kuwepo. Taarifa za kichama zinaonesha kuwa Mh.Membe ana ruhusa rasmi na ameambatana na Rais nje ya nchi.

'Jamaa walijipanga sana.Ni kama walijadiliana kabla.Walitupiana tuhuma waziwazi na kuzaa maswali ambayo Kamati lazima iyafuatilie kabla ya kutoa uamuzi. Lakini Kamati inaonekana kupendekeza kutoa ushauri zaidi yauamuzi mkali' kilisema chanzo hicho kilichohudhuria kikao hicho.

'Pia, uamuzi usingeweza kutolewa kwa wachache na mmoja kuachwa.Hadi naye ahojiwe na ndipo uamuzi ufikiwe. Mimi sioni kama kutakuwa na jipya' kiliongeza chanzo hicho. Waliohojiwa leo ni pamoja na Edward Lowassa,Fredrick Sumaye na William Ngeleja.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Hiyo kamati ya Mzee Mangula ni sawa na Nyuki wa mashine
 
Mbona kikao kilishavurugika tangu jana pale mmoja wa wahojiwa alipo hoja, kuwa mbona kuna kiongozi wa UVCCM amesema na kuungwa mkono kuwa Lowassa hatari kuwa Rais , mbona hajaitwa kuuliza nani anafaa kuwa rais? Na mwingine alihojiwa mbona wale vijana wa UVCCM Pwani waliposema Rais hawezi kutoka kaskazini hawa kuwahi kuitwa na kuhojiwa ili waseme Rais anapaswa kutoka kanda gani? Ngoma ilikuwa nzito hapo na kamati iligawanyika ........
 

Hawana ubavu huo. Kujivua gamba ndani ya siku tisini kuliishia wapi? Magamba yalikwambia kiunoni, Chenge alisema!

Hakuna dalili 'nzuri' ya taasisi kujifia kama pale misingi yake au kanuni zake zinapovunjwa hadharani na gizani, lakini haiwezi kuchukua hatua za kurekebisha hali.

This is the falling political party 'managing' failing govt...wanaosubiri jipya hapo wanastahili pole. Maana ni sawa na kusubiri ndege bandarini.
 
Hapo kwani amezungumza mtu wa cdm? Peleken ujinga wenu huko. Cdm haina muda wakujadili mambo ya magamba
 
mbona kuna mama moja naye anatoa madawati lakini hawa kumwita? na mwingine anatembea na kinana kuimarisha chama angali yeye jukumu lake ni mambo ya nje. sasa siasa za vijijini zinaingiaje kwake? kama sio kumpa hatua tatu mbele ya wenzake kabla ya mbio kuanza.
 
Back
Top Bottom