anti-fisadi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 368
- 31
ulitaka uhongwe wewe??? tunachohitaji watanzania ni umeme na si siasa. haya muombe huyo Samwel sitta wako atuletee umeme sasa
Unaona kuhongwa dili eeh? Labda mwenzetu sijui wewe ni jinsia gani,manake hueleweki!!
sitta anahusikaje hapa? Au unazani hizo kamati zenu famfa za siasa ndio zitatuletea umeme? Hili swala sio la kisiasa,wahandisi kwanini wasipewe jukumu la kutoa permanent solution badala yake hawa penguins ndio wanajijadilisha mada ambayo uwezo wao wa kufikiri unawalimit???
Tanzania kila kitu siasa,hata visivowahusu utawaona viherehere vinawajaa,kisa kuna maslahi ya hapa na pale. Waende pale UDSM, kuna maprof kibao watawapa consultation even free of charge. Kuna engineers reg board waende pale. Eti,kamati imekaa,wao nani?? waongelee tu ufisadi wao sio umeme na solution zake..