Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

Madalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.

Mtu anauza kiwanja milioni 8.

Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.

Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida

Pesa wanapata baraka hawana
Kama mtu ameridhia kupewa Mil 8 mwingine akaweza kuuza Kwa Mil 20 sijaelewa dhulma iko wapi hapo.

Kikubwa nisichokipenda Kwa Madalali ni tabia yao ya kuvuruga biashara pindi akiona hapati maslahi.. Halafu wana maneno mengi mpaka wanakera.
 
We unaongea nini, nipo hapa nasubiri demu nikamgonge dalali kaenda kunitafutia.. waache madalali bana nayo ni kazi
 
Madalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.

Mtu anauza kiwanja milioni 8.

Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.

Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida

Pesa wanapata baraka hawana
Hahaha kweli kaka hela yake ya mapepo tuliuza kiwanja sehemu tugawana mtonyo aisee tukavamia bar na kulala hapo hapo na mademu asubuh tunaamka sina hata mia
 
kuna jamaa alichomoa eneo alikuwa anauza m30 dalali kafanya yake m50
jamaa akamwambia dalali unakula m5 dalali akawa mbongo biashara ikaahirishwa
baadaye eneo likauzwa m47 bila dalali

Aliuza eneo kwa mteja yule yule aliyeletwa na dalali au mwingine? Kama ni mteja yule yule basi hakukutana na madalali wenye kazi zao.

Madalali hawakubali wakupelekee mteja wa dau kubwa halafu uwazunguke. Lazima wakufanye kitu mbaya ulogwe au uuwawe. Hapo dalali kakosa 17m.
 
Hahaa nimecheka hapo uliposema wenye kazi yao.
Ila ni ukweli dalali mwenye kazi yake usimzunguke atakufanya vibaya.
 
Kwa hakika mimi lilinishinda ilo mkuu, kwenye hela uwa nakuwa simba
hiyo ya asilimia inakuwa endapo yeye Dalali anakuuzia kitu. Kanunu ya udalali inasema unabidi ulimpe asilimia 10% ya hela uliyotoa kununua kitu husika. Kama shamba ulinunua kwa laki 8 basi dalali inabid umlipe 80 eifu
 
Umeona eeh
 
Hiyo hela siwezi kukupa. Kwa kukuonea huruma nitakupa 50,000 tu.
Mkuu kibiashara unakuwa upo nje ya makubaliano na ndo mana kabla ya yote watu huwa wanabargain. Kwamba wewe mwenye mali unataja bei unayotaka wewe na yeye dalali kweli anakutafutia hela uliyohijtaj kwaiyo mari ikiuzwa zaidi ya hapo hiyo inakuwa halali ya dalali, wewe unabidi ubaki kwenye mising ya biashara yenu
 
Back
Top Bottom