Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,829
- 33,225
Uwezo wao wa kufikiri ndiyo umeishia hapo!!!?, kwa akili hizo ipo siku watasema muuzaji akawasimamie kuhakikisha wanavaa kinga!!, kwakweli kusema hawa wamerogwa!!! Wanafahamu kwamba hao wanafunzi wanafahamu uwepo wa condom!? Unaweza kuwapeleka punda mtoni lakini wasinywe majiIli kukabiliana na tabia hii Kamati imeshauri kwamba wakati wa kuuzwa kwa dawa hizi za kuzuia mimba (P2) ni vizuri zikauzwa pamoja na condom kwa lazima ili kuwawezesha Wasichana kuwa na tabia ya kutumia condom hizo bila ya kunyanyapaliwa kwani uzoefu unaonesha kwamba iwapo watakuwa na hizo kondomu basi Wasichana wengi watazitumia ili kupunguza maudhi na madhara ya dawa