Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imekutana katika kikao chake maalum, siku ya leo Jumatano

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imekutana katika kikao chake maalum, siku ya leo Jumatano Agosti 15/2018, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali muhimu kuhusu chama na taifa kwa ujumla.
IMG-20180816-WA0007.jpg

IMG-20180816-WA0008.jpg
IMG-20180816-WA0009.jpg
IMG-20180816-WA0006.jpg
 
Mbona hao Wajumbe wamejikatia tamaaa, kesho au keshokutwa utasikia wanachama wengine wamejiuzuru. Mziki Wa JPM utaendelea kuwatoa Nyoka Pangoni Wote waliojificha.
 
Naona Mh. Mwenyekiti amesusa kuvaa kombati wala Tshirt ya chama. Hizo picha zinaongea maneno elfu. High table kunafuka moshi. Muda utaongea.
 
Wakitoka hapo baadhi wanapeleka taarifa zote Za Mjadala Sehemu Fulani Kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Kwani unadhani kuna siri gani ambayo imejadiliwa? Huwa hakuna siri zozote kwenye mkutano kama huu na ndio maana baadae hutoa ripoti ya mambo yaliyojadiliwa
 
Back
Top Bottom