Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,677
- 218,187
Nakuhakikishia kwamba kwa mbinu za Chadema hawa watu watahangaika hadi walale na viatu .Kuna watu wanatamani kunywa sumu kabisa!!
Labda wajaribu kuifuta ingawa ndio itakuwa hatari zaidi.Nakuhakikishia kwamba kwa mbinu za Chadema hawa watu watahangaika hadi walale na viatu .
Walitaka kufanya hivyo lakini wakaonyana wenyewe kwa wenyewe , umaarufu wa Chadema kimataifa umewatisha mno !Labda wajaribu kuifuta ingawa ndio itakuwa hatari zaidi.
Tupo na tiss na wasanii tunaiga sauti ya mbowe ili tumshtaki kwa udhalilishaji wa ngono kwa wale wabungeNakuhakikishia kwamba kwa mbinu za Chadema hawa watu watahangaika hadi walale na viatu .
Aiseeee !!!Tupo na tiss na wasanii tunaiga sauti ya mbowe ili tumshtaki kwa udhalilishaji wa ngono kwa wale wabunge
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu kwa msongo wa mawazoMgonjwa akiwa hatua ya kukata roho pia anaonyesha matumaini ya kunywa uji!
pole sana mkuu kwa msongo wa mawazo
Makene bonge la " kauzu"
Chadema msipotuonesha viwanda elfu nne mlivyojenga na Mil 50 kila kijiji sijui ,,Mtatuambia nini
Tuliza boli, huo mtori tu, nyama zipo chiniChadema ujinga umekuwa sehemu ya maisha yao so walikutana kutuma salamu za idd
Utangulizi aya nne zote na kutakiana idd njema haya mambo mbalimbali ni yapi