Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana tena Kidijitali. Haya hapa ndio maazimio yake

Mimi ni muumini wa meza huru na kumaliza mambo kidipolomasia zaidi, sio fukuzafukuza bila kuwasikliza wafukuzwa!!!

Hapo ndipo wanapotupa kazi kubwa kweli kujibu hoja za upande wa pili

Chadema, democrasia iko wapi??
 
Mimi ni muumini wa meza huru na kumaliza mambo kidipolomasia zaidi, sio fukuzafukuza bila kuwasikliza wafukuzwa!!!

Hapo ndipo wanapotupa kazi kubwa kweli kujibu hoja za upande wa pili

Chadema, democrasia iko wapi??
mkuu habari za geita , ni lini ulijiunga Chadema ?
 
mkuu habari za geita , ni lini ulijiunga Chadema ?
Mkuu, habari za Geita Ni njema, Ila ni siku nyingi sana sipo huko, Mimi nilijiunga Chadema miaka 15 nyuma, Ila badae nikapunguza Sana Mapenzi na Chadema tangu sakata la EDL kuingizwa kwenye Chama kisafi
 
Mkuu suala la tume huru ya uchaguzi lilijadiliwa? Maana sioni kwenye hayo maazimio, ifahamike bila tume huru ya uchaguzi kushiriki huo uchaguzi ni kupoteza rasilimali fedha na muda.
Hilo halipo tena.
 
Maazimio ya mini mbona sijona bali ni kutakia heri ya eid na kujikinga na korona, kwa hiyo hayo nia maamuzi ya kamati kuu au?
Kama ndio basi hawajui wanakoelekea.
Ndio Hivyo na posho za kibao wamelipana.Mbowe baada ya kubanwa kuwa kala bilioni nane peke yake kaja nabinu ya kuitisha vikao hewa hovyo kama hicho ili awagawie wajumbe wa kamati kuu kuwapoza wizi mtupu

Hiyo. Pesa warudishe Huwezi kaa kikao cha kamati na kuja na maazimio ya kijinga Kama hayo

Wanajamii forums oneni wenyewe ujinga wa chadema.Hayo ndio maazimio ya kamati kuu Ni aibu afadhali hata wasingetoa press release kuja kujiabisha
 
Kuna watu wanatamani kunywa sumu kabisa!!
Kunywa sumu ya nini mkuu? Chama kinatuhumiwa na waliokuwa wabunge wake kwa tuhumu nzito za unyanyasaji wa kijinsia na matumizi mabaya ya fedha halafu Kamati Kuu inakaa inatoa eti "Salamu za Eid el Fitr"? Huku ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu! Na adhàbu yake kwenu itakuwa ni kilio cha kusaga na meno!
 
Back
Top Bottom