Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Dar es Salaam

Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Dar es Salaam

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo tarehe 8/07/2023 Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), Chama kinachotajwa kuwa na Wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha Siasa Nchini Tanzania wanakutana Mkoani Dar es Salaam.

Kikao hicho kizito ambacho mara zote ndio kinachotoa Mwongozo pamoja na Dira ya Taifa kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe .

Endelea kututegea sikio.

View attachment 2681819View attachment 2681820View attachment 2681821View attachment 2681822
Sema kamati kuu ya wadini na wabaguzi wenye chuki balaa.
 
Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources.

Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa sehemu kidogo tu ya ardhi ya Tanzania kilichotokea imebaki kuwa historia ya Dunia - Mwalimu Nyerere alisimama kidete kuhakikisha ardhi ya Tanzania inabaki kuwa ya Tanzania na kuwa salama.

Jeshi la wananchi kazi Yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi hii, Leo eneo lote la bahari toka kaskani Hadi kusini linakuwa mikononi mwa mwarabu ( nchi nyingine kabisa - Dubai) halafu wao na mapumbu Yao wamelala tu kutetea ugali wao, hivi wanajeshi wa nchi hii mnajielewa kweli?

Hivi wanajeshi wa nchi hii hamuoni Wala kusikia kilio Cha watanzania kuhusu kutetea Rasilimali na mipaka ya nchi hii?

Ukiachana na Bandari, oneni Kule ngorongoro nchi inavyochukuliwa na waarabu na kuwa nchi ndogo ndani ya nchi yetu - yaani mwarabu anakuwa na sauti ndani y resources za nchi yetu halafu nyie mpo tu na mnaona kinachoendelea? Hapo ndio mnalinda mipaka ya nchi hii kweli?

JWTZ si Kuna military intelligence humo, au nanyi mmelala usingizi wa pono?

Hivi ni Nini kinachowashinda kuchukua maamuzi magumu ili kumrudusha huyu Mzanzibari kwao Kule pemba au akimbilie huko kwa wajomba zake Dubai na sisi tuanze upya? Fanyeni maamuzi ya kiume ambayo hata vizazi vijavyo watakuja kuwakumbuka na hapa ndio mtajiongezea heshima kwa taifa hili.

Watanzania wataona kweli Wana jeshi imara ambalo lipo kulinda Resources za nchi hii na mipaka yake.

Hebu jiulizeni PM kichwa kibovu kile hakieleweki kabisa na siku hizi anaongea pumba tu, si manajionea wenyewe? Fanyeni maamuzi magumu na watanganyika tupo nyuma yenu kwa hili. Hakuna mpumbavu anayeunga mkono ujinga huu unaendelea.

Imagine; VP ndio amekuwa kama katekista Sasa hivi, yaani ni BONGE la boyaaa, hata kuongea ni kazi amekaa kama ansuiri tu 2025 ifike akae atulie. Yaani hata Mkuu wa wilaya akiongea kitu kinaeleweka kuliko hiki kituko tulicho nacho, nadhani wenyewe mnaliona hilo.

KUMBUKA MWAKA 1964 ZANZIBAR WALIFANYA MAPINDUZI ILI KUMUONDOA MUARABU / Kumbukeni utawala wa sultan uling'olewa Ili wazanzibari wawe huru na ardhi Yao na kuupinga utumwa na unyonyaji wa waarabu, Leo hii Cha kushangaza nyingi huku bado mnaona mwarabu huyo huyo aliyetimuliwa Zanzibar Sasa anakuja kupora Mali za Tanganyika na nyinyi mpo tu mnatoa mimacho! HIVI NYIE WANAJESHI MMEROGWA NA NANI?

MNAJUA KIAPO MLICHO APA CHA KULINDA MIPAKA YA NCHI HII?

NB: Fanyeni maamuzi magumu kwa mustakabali wa watu million 60 wa Tanganyika, achaneni na hizi drama sijui nchi itagawanyika huo ni ujinga.

Nyie ndio suluhisho pekee, mfyatueni tu aondoke akimbilie huko kwa wajomba.

Baada y miezi mitatu serikali ya mpito Ili kuandaa uchguzi Mkuu na nchi kurejea kwa watu sahihi. Na hapo Sasa wanafiki wote wanaojipendekeza kwa mama tutakuwa timeshawajua na wenye uchungu na nchi na Rasilimali za Tanganyika tutakuwa tumeshawajua.

NINAWATAKIA KILA LAKHERI KATIKA UTETEZI WA MIPAKA NA RASILIMALI ZA NCHI HII.

BADO TUNA IMANI NA NYIE JWTZ NYIE NDIO WA KUTUOKOA KWA SASA.
Mona na wewe umejipachika jina la wajomba zako wa Kiarabu?
 
Hatumtaki
Sasa Prince jamani si anamfata ndugu yake Mbowe? kwanini hamumtaki maana namsikia kila siku analalama kuwa Katengwa na CCM Zanzibar.

Huyo atawasaidia sana Unguja, bado wapo diehard wa kina Karume kule.

Pemba msahau kabisa, hivi Pemba mna mwanachama hata mmoja wa kuombea maji?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo tarehe 8/07/2023 Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), Chama kinachotajwa kuwa na Wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha Siasa Nchini Tanzania wanakutana Mkoani Dar es Salaam.

Kikao hicho kizito ambacho mara zote ndio kinachotoa Mwongozo pamoja na Dira ya Taifa kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe .

Endelea kututegea sikio.

View attachment 2681819View attachment 2681820View attachment 2681821View attachment 2681822
Mrudisheni mwamba Dr Slaa na ateuliwa kuwa mgombea uraisi kwa chama cha Chadema, kamamliweza kumkubali Lowasa ambaye hata alikuwa haijui Chadema sembuse Slaa, ikumbukwe Dr Slaa aliondoka Chadema kutokana na mwenyekiti wake kubadili gia angani, akirudi Slaa na kupewa tiketi hata mimi CCM kindakindaki kura yangu itaenda kwake, nitapiga kura ya chuki kuiangusha CCM,haiwezekani tuuziwe hata bandari yetu ya Kiwira!
 
Sasa Prince jamani si anamfata ndugu yake Mbowe? kwanini hamumtaki maana namsikia kila siku analalama kuwa Katengwa na CCM Zanzibar.

Huyo atawasaidia sana Unguja, bado wapo diehard wa kina Karume kule.

Pemba msahau kabisa, hivi Pemba mna mwanachama hata mmoja wa kuombea maji?
Unauliza au unajibu ?
 
Mrudisheni mwamba Dr Slaa na ateuliwa kuwa mgombea uraisi kwa chama cha Chadema, kamamliweza kumkubali Lowasa ambaye hata alikuwa haijui Chadema sembuse Slaa, ikumbukwe Dr Slaa aliondoka Chadema kutokana na mwenyekiti wake kubadili gia angani, akirudi Slaa na kupewa tiketi hata mimi CCM kindakindaki kura yangu itaenda kwake, nitapiga kura ya chuki kuiangusha CCM,haiwezekani tuuziwe hata bandari yetu ya Kiwira!
Msalimie Mwakyembe
 
Back
Top Bottom