imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Hizo ni Propaganda za CCM,kuna kipindi CUF ilikuwa na nguvu sana CCM wakaanza kutangaza kuwa CUF ni Chama cha Kidini na haswa Waisilamu,hili ni lengo la kutugawa Wananchi.Nikikaa kimya mawebyataongea mkuu. CHADEMA ni genge la wahuni wapenda udini na wanaoichukia Zanzibar na waislamu vibaya sana. CHADEMA ni chama cha kanisa ambacho kinapaswa kuogopwa na waislamu kama ukoma.
Adui yako/yetu ni huyo CCM na utajua siku akitoka.