Suala la kuzuia mikutano linaua vyama kinzani kabisa.Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya Chadema inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .
Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho .
Kaa tayari kupokea taarifa nzito zinazobeba DIRA YA TAIFA .
Mungu ibariki Chadema
View attachment 2359813
Tulikatae Kwa kufanya mkutano wa hadhara Dar peupeeee!!!!