Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Ndg wana JF, nadhani sasa tunashitukiwa naambiwa na mdao aliyeko kule kule kuwa electronics note taking hairuhusiwi, hii inamaanisha vitu kama laptop, ipad na cm haziruhusiwi kuguswa guswa mle ndani.

Sasa sijui ni kwa kuhofia jf itapata kila ishu au vp, lkn jamaa wakitoka watatupasha yote.

Hakuna hata habari za uhakika zilizovuja?kweli kikao ni kikali na cha siri kubwa.

Duu jf tunabidi tujipange tena. haiwezekan mpaka muda huu hatujajua kitu. vijana dom fanyeni mambo.

Dom wamelogwa na ccm. Ni moja ya mikoa mitiifu kwa ccm.

Sio wote mkuu wana utiifu huo kama unavyogeneralize pia niko Dom na sipo hvyo,it seems watu wa usalama wamesoma mambo ya humu ndani so kama Wa kusoma anavyosema jamaa humo ndani wamenyimwa yaliyosemwa hapo juu,so tutulie wakitoka tu humu ndani full mihabari

Poa mkuuu ukipata habari tuhabarishe.

kwahiyo unataka kusema chama kitakachomsimamisha muislam tu kimekula bingo?usiwashushe hivo watu wa igunga mkuu

tuweni wapole tu ndugu maana kunauwezekano kuna siri nzito hasaukizingatia walishawandanganya watz magamba yalitakiwa kujihudhuru lakini mpaka leo hii ni gamba moja tu lililofanya hivyo. tusubirini tuone nini kitajiri kwa leo

Hakuna siri ya mtu mmoja huku kwetu, maadili ya 'classfied au confidential' hatuna.
Watayojadili magamba tutayajua si muda.

Taarifa rasmi baada ya nusu saa, kikao bado kinaendelea. Lakini habari zisizo rasmi zinasema kuna kutokuelewana kati ya Mwenyekiti na baadhi ya wajumbe.

Kikwete ameleta hoja ya kumbembeleza Rostam Aziz awasaidie kampeni na hapo ndipo wajumbe walilipuka kwa hasira na baadhi kutoka nje kwa dharau.

Reactions: EMT
Ina maana hata Simu zimezimwa humo? Kwa kweli ya leo ngumu!

Inaonekana wameamua kumuonyesha kuwa wanamdharau baada ya kujificha muda mrefu, ccm raha sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…