Kamati Kuu Ya CCM Mwaka 1986

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM mwaka 1986
Kutoka kushoto: Kingunge, Maalim Seif, Idris Abdul Wakil, Ali Hassan Mwinyi, Jk Nyerere na Rashid Mfaume Kawawa.
10408878_823700017667250_8698240910848674360_n.jpg
 
Hii mambo ya MCC si ilimalizwa na Saada Mkuya alipokuwa Waziri wa Fedha nakumbuka kumsikia akisema tutapata hizo pesa....kumbe ni uwongo.....jamani mdada kuwa muongo ni aibu
 
Kamati Kuu bora Kabisa Kuwahi Kutokea. Halafu Huyo Seif Tulimtuma Tuu Aje Upinzani Lakini Sisi Ndio Mabosi Wake Kama Picha Inavyojieleza.
 
Kamati kuu haina budi kuwepo sababu wakati mwingine nchi hujikuta ina wapumbavu wengi zaidi ya wenye akili kama uchaguzi wa mwaka ulopita ulivodhihirisha. Sasa ili kusaidia hao wapumbavu wengi wasidanganywe na maneno ya wajanja inabidi kamati kuu ifanye kazi on behalf of them.
Ndio matokeo yake sasa tunae raisi chaguo la Mungu.
Na kamati inapaswa undwa na wazee wazalendo wanojulikana wasio na interest na cha kupoteza.
Hence, kamati kuu haina budi kuwapo.
 
Nyumbu wa mikumi na nyumbu wa Serengeti wote ni nyumbu tu kama wewe.
 
Back
Top Bottom