tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
Kufuatia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kinachofanyika huko Zanzibar, kuna uwezekano mkubwa jina la Lowassa likakatwa kutoka kwenye orodha ya wanaCCM watakaopeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015.
Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.
Chanzo: RFA
:israel:
Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.
Chanzo: RFA
:israel: