Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Upo misinformed then. Wakifukuzwa, kuna kitu inaitwa BARAZA KUU linakaa na “kubariki” maamuzi yale.Chadema washawafukuza hao wachumia tumbo 19.
Hata wewe wanakuzidiWatalose mara ngapi bwashee?
Akili ya Halima James Mdee ni kubwa kuliko akili za Mbowe na Mnyika ukizichanganya pamoja!
Baba zako hawalali kwa Chadema iliyokufaChadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Upo misinformed then. Wakifukuzwa, kuna kitu inaitwa BARAZA KUU linakaa na “kubariki” maamuzi yale.
Baraza kuu inabidi likae na kujadiri hatma ya wale 19 na uhalali wa Aida Khenani kuwa Bungeni wakati huohuo Chama kinaona si sawa kupeleka wabunge wa viti maalumu.
Hii issue haiwezi kuachwa ikihang hewani tu.
Mahakama ipi kijana?Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Mnataka CHADEMA kifanye nini tena wakati kilishawafukuza uanachama?Pilipili Mbuzi, umetoa ushauri wa maana kabisa, kweli kuna kiza hapa, kuhusu hili swala.
La kujiuliza, jee hawa kina DADA 19 ujasiri huu ni wao, au kuna mkono wa kichama nyuma yao. Tunajua Chama Changu cha CCM, kinaweza tumia mbinu zozote kuhakikisha mvurugano unatokea nfani ya CDM, tukiwacha hilo, Jee ubavu wanaopewa hawa kinadada na power ipi ndani ya CDM, hadi waka wakakamavu hivi.
Mbowe na CHADEMA wameweza kuwasambaratisha vigogo wenye mvuto mkubwa kama akina Marehemu CHACHA, ZITTO NA TIMU YAKE, Wenje na wengine wengi.
But never these ladies, acheni kuwaangalia hawa mademu, fanyeni uchunguzi ndani yenu. Wahenga walisema " KIKULACHO KII NGUONI MWAKO"
CHADEMA kilishawafukuza uanachama kina Halima Mdee na wenzake kwa mujibu wa maamuzi ya kamati kuu they are no longer members of the party unataka chama kishughulike na watu ambao siyo wanachama wake ?Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?
Kutokuchukua hatua stahiki kwa kuwa tu unaamini eti utashindwa ni udhaifu mkubwa sana unless ofcourse na wewe ni part ya hiyo syndicate.
Waulize ccm watakwambia Kama kimekufa?Rejea uchaguzi mkuu 2020, nguvu iliyotumika kukabiliana na CHADEMA.Chadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Akili yake kubwa ndio maana mkaweza kumdanganya kwa vipande vya fedhaWatalose mara ngapi bwashee?
Akili ya Halima James Mdee ni kubwa kuliko akili za Mbowe na Mnyika ukizichanganya pamoja!
CCM walitegemea Chadema Watakwenda Mahakamani na kesi ilipangwa hivi ,Wakati kesi ikiendelea Mahakama itawaruhusu kuendelea na ubunge mpaka hukumu na hukumu ingepigwa tarehe mpaka 2025 na Ndungai atakuwa hana lawama maana atasema anaheshimu Mahakama Tofauti na sasa kuna wasiwasi mkubwa maana Ndugai anaonekana direct ndo anavunja katiba ya nchi.Mipango yao ya kishetani walitaka walibwage kwenye muhimili mwingine ili wenyewe waonekane wasafi,nafikiri Chadema wamewashitukia ,wache hao wanawake ila muda utasema uko mbele maana kuna mtu atakuja kuwashitaki kwa kuvunja katiba waziwazi namna hii.Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Lakini kilipokea rufaa zao. Au rufaa zilitupwa?CHADEMA kilishawafukuza uanachama kina Halima Mdee na wenzake kwa mujibu wa maamuzi ya kamati kuu they are no longer members of the party unataka chama kishughulike na watu ambao siyo wanachama wake ?
Mambo haya yanahitaji umakini mkubwa siyo kukurupuka tuu, vikao wameshasema vitafanyika mwezi wa tatu au wanne na maamuzi yatatoka, huwezi kwenda mahakamani wakati kuna kikao chenye kufanya maamuzi makubwa kinasubiriwa kufanyika..Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Maamuzi ya kamati kuu yanaendelea kusimama pale pale mpaka yatakapotenguliwa na Baraza kuu.Lakini kilipokea rufaa zao. Au rufaa zilitupwa?
Safi. Baraza Kuu likae tu na kumaliza hii sintofahamu.Maamuzi ya kamati kuu yanaendelea kusimama pale pale mpaka yatakapotenguliwa na Baraza kuu.
Ndivyo walivyokutuma useme?Safi. Baraza Kuu likae tu na kumaliza hii sintofahamu.
Akina Halima wanahoji iweje kususia kupeleka wabunge viti maalumu kwa sababu uchaguzi haukuwa halali wakati huohuo kukubali Aida aende Bungeni wakati na yeye ni zao la uchaguzi huohuo? Kwanini mwaka 2015 walienda Bungeni wakati uchaguzi haukuwa huru and fair as well?
Waulize ccm watakwambia Kama kimekufa?Rejea uchaguzi mkuu 2020, nguvu iliyotumika kukabiliana na CHADEMA.
Mbowe amzunguke Mnyika? Yaani Mbowe aliyemkaribisha Mnyika leo hii aogope kufanya maamuzi hadi amzunguke? Ssa udikteta wa Mbowe mnaosema uko wapi? Ina maana Mbowe anaweza vunja kanuni na sheria za nchi (Maana majina lazma yapitishwe na kamati kuu na kukabidhiwa kwa katibu mkuu anayepeleka NEC ) na akaachwa?mkuu hivi unamjua mbowe au una msikia tu kwenye bomba? kitu kimesukwa hicho unafikiri ruzuku na pesa ya kila mwezi wanazochanga wabunge viti maalumu ni chache? angekula wapi?
kaa ukisubiri kikao cha kamati kuu mpaka miaka mitano itaisha waingie kwenye uchaguzi tena na siyo rahisi wele kuwa walijipeleka wenyewe bila mkono wa chadema kuhusika never mbowe anahusika mnyika alizungukwa na ndiyo maana mdee akamuambia wewe dogo umefaziliwa umekuja chadema na ndala na hakujibu kitu
Kwanza CHADEMA hakijawafukuza uanachama kina Halima kwa sababu wanayoitoa wao bali kwa wao kukiuka taratibu za chama.Safi. Baraza Kuu likae tu na kumaliza hii sintofahamu.
Akina Halima wanahoji iweje kususia kupeleka wabunge viti maalumu kwa sababu uchaguzi haukuwa halali wakati huohuo kukubali Aida aende Bungeni wakati na yeye ni zao la uchaguzi huohuo? Kwanini mwaka 2015 walienda Bungeni wakati uchaguzi haukuwa huru and fair as well?
Mahakama ya wapi mtoa mada unafikiri Ndugai ni mjinga au mpumbavu?? Anajua ni nini anachofanya na maamuzi yake anayajua,hapa usifikiri kuna sheria labda hao madada wangekuwa na kesi inayoidhalilisha serikali au kumgusa mkuu wa nchi majibu yake ungeyapata mara moja.Unawaonea viongozi wa chadema bure kwani ndugai,magufuri na mwigulu nchemba hawaipendi chadema kwa sababu ya Lissu,Mbowe na Mnyika.Naandika kwa masikitiko makubwa sana.