Kamati haramu hiyo iko kinyume Cha katiba ya chadema muda wao ulishaisha September .Nani aliye extend muda wao wakati muda wao kikatiba wa miaka mitano uliisha September 2019.Sasa hivi hamna Kamati kuu.Waandishi wa habari mkienda muwahoji wao ni Kamati kuu ya wapi wakati muda wao wa kikatiba ulisha Isha? Muhojini Hadi Mbowe kuwa je wewe ni mwenyekiti wa Chadema kwa Sasa wakati uongozi wako uliisha September?
Waandishi wa habari Tanzania kuweni serious ulizeni kwanza aliyeitisha kikao Nani wakati uongozi wa Chadema muda wake uliisha September 2019.Msikubali kuanza press bila Hilo swala kujibiwa.Wajijataa kujibu toeni vyombo vyenu ondokeni zenu