Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,957
- 288,126
Mungu ibariki Chadema
Mkuu, hebu acha mambo ya u-muchknow. Ulichokiandika kinahusiana vipi na taarifa ya kikao iliyotolewa? Kama unataka kuandika haya uliyoyaandika, anzisha uzi wako. Maneno mengi, hakuna hoja!Kosa walilofanya CHADEMA mwaka 2015 litazidi kuwatafuna!
A quick fix for long standing political problem only works for short term. A ripple effect of quick fix is eating CHADEMA dearly!
Haya yanayotokea kwa sasa niliwahi kuandika kwenye hii thread;
GONGA LINK>>>Wapinzani wasiposhikamana na kundi la ''walalahoi'' mwisho wao waja!
Pamoja na ugonjwa wako wa ukabila unaokusakama nakuhakikishia kwamba Magufuli hakushinda uchaguzi wa 2015 , alibebwa na Kikwete ambaye mpaka leo anatafunwa na dhambi ile , na ukileta ujinga tutakuwekea hapa ushahidi kamili wa wizi , muulize Kapilimba , January , Kinana na Lubuva , acha fyoko fyoko utaumbuka vibaya sana !Kosa walilofanya CHADEMA mwaka 2015 litazidi kuwatafuna!
A quick fix for long standing political problem only works for short term. A ripple effect of quick fix is eating CHADEMA dearly!
Haya yanayotokea kwa sasa niliwahi kuandika kwenye hii thread;
GONGA LINK>>>Wapinzani wasiposhikamana na kundi la ''walalahoi'' mwisho wao waja!
Acha upuuzi MkuuKosa walilofanya CHADEMA mwaka 2015 litazidi kuwatafuna!
A quick fix for long standing political problem only works for short term. A ripple effect of quick fix is eating CHADEMA dearly!
Haya yanayotokea kwa sasa niliwahi kuandika kwenye hii thread;
GONGA LINK>>>Wapinzani wasiposhikamana na kundi la ''walalahoi'' mwisho wao waja!
Huyu Jamaa ni Mpuuzi sanaKwahiyo watendaji wa kata na polisi ndiyo walalahoi ?
How can you analyse the current political atmosphere with such a logical myopia ?
Mkuu wala hata hajaidhoofisha , ndio maana anaogopa uchaguzi , Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu .Acha upuuzi Mkuu
Hakuna Mwenye akili timamu asiyejua kuwa Jiwe ndio kaidhoofisha CDM Kwa kutumia Mamlaka yake vibaya
Ila siku itakuja
Na akikuta upinzani umebaki hewa na pango la wapigaji atapiga yowe sana, maana kuna watu hawataki kuachia uwenyekiti kwa madfai wanapendwa kumbe ni UROHO WA MADARAKA, upinzani badilikeniNyerere akifufuka Leo aone CCM ilipolifikisha taifa atalia sana
Magu anaogopa sana upinzani anajua nguvu ya upinzani
[/QUOTE
Hayo ni maoni yake, ila upinzani mnasafari ndefu sana[emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1255750
Wewe ni sawa na debe tupu, huna loote unalojua wewe, unayoongea ni imaginary na fake thoughts, tatizo hamkubali kushindwa ndo tatizo lenu kubwa nyie wa UFIPAPamoja na ugonjwa wako wa ukabila unaokusakama nakuhakikishia kwamba Magufuli hakushinda uchaguzi wa 2015 , alibebwa na Kikwete ambaye mpaka leo anatafunwa na dhambi ile , na ukileta ujinga tutakuwekea hapa ushahidi kamili wa wizi , muulize Kapilimba , January , Kinana na Lubuva , acha fyoko fyoko utaumbuka vibaya sana !
Joined october 19 , 2019Wewe ni sawa na debe tupu, huna loote unalojua wewe, unayoongea ni imaginary na fake thoughts, tatizo hamkubali kushindwa ndo tatizo lenu kubwa nyie wa UFIPA
_Maamuzi ya Chadema Leo 07/11/2019,Chama kimejitoa kushiriki Uchaguzi huu wa Serekali za Mitaa