Kamati Kuu CHADEMA kukutana kwa dharura kesho

Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Hawajaomba kibali kwahiyo ni batili kukutana.

2. POLISI ni wachache wanasimamia mitihani kidato cha nne kwahiyo wasubiri kwanza.

3. Huu msimu wa kusheherekea besdei ya MEKO , wasitukatishie sherehe yetu
 
Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Kamati haramu hiyo iko kinyume Cha katiba ya chadema muda wao ulishaisha September .Nani aliye extend muda wao wakati muda wao kikatiba wa miaka mitano uliisha September 2019.Sasa hivi hamna Kamati kuu.Waandishi wa habari mkienda muwahoji wao ni Kamati kuu ya wapi wakati muda wao wa kikatiba ulisha Isha? Muhojini Hadi Mbowe kuwa je wewe ni mwenyekiti wa Chadema kwa Sasa wakati uongozi wako uliisha September?

Waandishi wa habari Tanzania kuweni serious ulizeni kwanza aliyeitisha kikao Nani wakati uongozi wa Chadema muda wake uliisha September 2019.Msikubali kuanza press bila Hilo swala kujibiwa.Wajijataa kujibu toeni vyombo vyenu ondokeni zenu
 
Kamati haramu hiyo iko kinyume Cha katiba muda wao ulishaisha September .Nani aliye extend muda wao wakati muda wao kikatiba wa miaka mitano uliisha September 2019.Sasa hivi hamna Kamati kuu.Waandishi wa habari mkienda muwahoji wao ni Kamati kuu ya wapi wakati muda wao wa kikatiba ulisha Isha? Muhojini Hadi Mbowe kuwa je wewe ni mwenyekiti wa Chadema kwa Sasa wakati uongozi wako uliisha September?

Waandishi wa habari Tanzania kuweni serious ulizeni kwanza aliyeitisha kikao Nani wakati uongozi wa Chadema muda wake uliisha September 2019.Msikubali.kuanza press bila Hilo swala kujibiwa.
Wanawapa airtime pieere liquid, amber ruty sasa mmeteka CHANNEL 10, TBC hata hawa wengine hamuwataki?
 
POLISI ni wachache wanasimamia mitihani kidato cha nne kwahiyo wasubiri kwanza.
Polisi Uongozi wa Chadema muda wao uliisha September 2019.Ikiwemo Kamati kuu .Hiyo press conference ni haramu .Uongozi ukioitisha hiyo press conference sio wa Chadema kisheria
 
Polisi ndio Msajili wa Vyama, Wewe PIERE LIQID UMEKUNWA CHANGAA NINI?
 
Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
============
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA.

Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao maalum cha dharura, kitakachofanyika kwa siku moja, Alhamisi, Novemba, 2019.

Kikao hicho kitakachojadili agenda maalum ya Taarifa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, kitaketi chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, kwa mujibu wa ibara ya 7.7.15 ya Katiba ya Chama ya Mwaka 2006, Toleo la Mwaka 2016.

Baada ya kikao, Kamati Kuu ya Chama itakutana na Wabunge wote wa Chadema.

Imetolewa leo Jumatano, Novemba 6, 2019 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema.
FB_IMG_1573056757512.jpg
 
Kamati ya wangese
Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.

======

kwani bado chadema ipo?
 
Waje na tamko moja tu kutoshiriki kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa. Kwa huu usenge unaoendelea hakuna sababu ya kushiriki kwani hakuna mpinzani atakayetangazwa kushinda.
 
Back
Top Bottom